Jinsi ya Kutumia Akaunti Mbili za Kila Programu kwenye Simu Yako

Akaunti mbili Akaunti mbili

Kwa sasa ulinzi wa simu yako ni kitu cha msingi sana tena ukizingatia kuwa kuchanganya maswala binafsi na kazi ni kitu ambacho ni kigumu kidogo na kimekua kikileta matatizo kwa watu wengi sana lakini je unafanyaje kukabiliana na hili na tatizo ni pale unapokua na simu moja tu.

Basi kama hilo ni moja kati ya maswali ambayo ulikua unajiuliza sana usiwe na wasiwasi leo nitashare na wewe namna rahisi kabisa ya kuhifadhi akounti mbili za kila programu ambayo unatumia kwenye simu yako. Jia hii imethibitishwa na watalamu mbalimbali na inawezekana ndio njia salama duniani inayotumiwa na watu wengi sana kwa sasa, basi kwa kuanza basi hakikisha simu yako ina internet ya kutosha au MB za kutosha ukiwa na MB 100 zinatosha kabisa kisha kama unavyo vyote hivi basi moja kwa moja chukua simu yako ya android na bofya hapo chini kwenye hiyo programu.

Kisha baada ya hapo sajili programu hiyo kisha fuata maelekezo yake marahisi ambayo yatakuelekeza namna kuhifadhi akaunti mbili za kila programu uliokua nayo kwenye simu yako, programu hii imeonyesha kufanya kazo kwa kila simu ya android ila kama kwako unaona imeleta tatizo usisite kuwasiliana nasi nasi tutakusaidia moja kwa moja.

Advertisement

Kama umeipenda hii usisite kulike page yetu ya Facebook pamoja na Twitter ili kupata habari mpya pindi zinapotoka, pia kwa kujifunza mambo mbalimbali kwa vitendo unaweza ku subscribe kwenye Youtube Channel yetu hapa Tanzania tech blog. Pia usisahau kubofya hako ka-LOVE hapo chini ili ku-show love..!!

3 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use