Kuhusu Sisi

Tanzania Tech ni Mtandao wa Teknolojia uliogunduliwa mwaka 2016 hapa Tanzania, Lengo letu kubwa la kuanzisha mtandao huu ni kuhakikisha tunafikisha kwa urahisi habari, ufahamu na mafunzo ya Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania kwa lugha ya Kiswahili.

Tanzania Tech pia inakupa uwezo wa kujiunga na majadiliano mbalimbali ya teknolojia kupitia Tanzania Tech Forum, hapa utaweza kupata msaada pamoja na kujifunza zaidi kuhusu Teknolojia kutoka kwa watu mbalimbali wenye ufahamu tofauti kuhusu ulimwengu mzima wa Teknolojia.

 

@Bill Gates

We are Changing the World with Technology.