in

Jinsi ya Kuchat na Watu wa Karibu Bila Bando Wala Salio

Unaweza kuchat pia unaweza kutuma picha bure kabisa

Jinsi ya Kuchat na Watu wa Karibu Bila Bando Wala Salio4:24

Habari na karibu tena kwenye maujanja, siku ya leo ninaenda kukuonyesha njia fupi ambayo unaweza kutumia na ndugu jamaa na marafiki kuchati bila kuwa na Internet, kumbuka njia hii inafanya kazi pale unapokuwa uko karibu na unaetaka kuchat nae.

Vitu vya msingi unavyotakiwa ni pamoja na uwezo wa kudownload app kupitia Play Store pamoja na simu yoyote ya Android yenye uwezo wa bluetooth. Kumbuka pia ili kusudi uweze kuchat kwa urahisi wewe na unaetaka kuchati nae ni vyema wote mfuate hatua hizi.

Kama umefuata hatua hizi kwa usahihi basi najua utakuwa umeweza kuchati bila kutumia internet, kama nilivyo kwambia awali njia hii ni nzuri kama unataka kuchat na mtu ambayo mko kwenye ofisi moja au darasa moja au hata mahali popote ambapo wote mnapatikana kwenye eneo moja.

Kumbuka kila simu inakuja na uwezo tofauti wa bluetooth hivyo simu zingine zinaweza kwenda masafa marefu zaidi na nyingine zikwa na uwezo mdogo zaidi kwa upande wa umbali. That’s it guys i hope umejifunza kitu siku ya leo. Unaweza kupata app iliyotajwa kwenye video HAPA. Kwa maujanja zaidi unaweza kujifunza hapa jinsi ya kupata angalau $5 kila siku.

Jinsi ya Kutumia Mtandao wa TikTok Hatua kwa Hatua
Amani Joseph

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Maoni 2

Toa Maoni Hapa

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.