in

Mahitaji na Jinsi ya Kupata Mashine ya Risiti ya Kielektroniki (EFD)

Jifunze hapa jinsi ya kupata mashine ya EFD na mambo yanayo hitajika

Mashine ya EFD

Kwa muda sasa nimekuwa nikipata maswali ya jinsi ya kupata mashine ya EFD, ingawa hatua hizi zinapatika kwenye tovuti mbalimbali lakini hebu kwa urahisi kabisa tujaribu kuziandika hapa.

Kwa kifupi kabisa EFD ni mashine zilizotengenezwa kwa ajili ya kutumika katika biashara kwa ajili ya kudhibiti mauzo na mfumo wa mali unaofuata masharti yaliyoelezwa na sheria. Kwa mujibu wa Sheria ya Kodi ya Mapato mwaka 2012, mtoa huduma hapa Tanzania anapaswa kuwa na mashine ya risiti za kielekroniki (EFD) kuhalalisha mauzo anayofanya.

Mashine hizi huunganishwa na mfumo wa Mamlaka ya Mapato (TRA) na kuwasilisha taarifa muhimu ambazo husaidia katika ukadiliaji wa kodi. Lakini kabla ya kuendelea ni vizuri ujue kuwa Mashine hizi haziwahusu wafanyabiashara wa sekta isiyo rasmi kama vile mama ntilie na wamachinga kwa sababu hawana sehemu maalum ya kufanyia biashara.

Kupata mashine za risiti za kielektroniki ni rahisi sana unahitaji kuwa na mambo machache sana ili uweze kuwezesha kupata mashine hiyo.

Kifupi Mahitaji ya EFD ni Haya

Jinsi ya Kutengeneza Tovuti kama Twitter Ndani ya DK 10

Kwa kampuni Unahitaji vyote hivyo hapo juu pamoja na 

Na hayo ndio maelezo mafupi jinsi ya kupata mashine hiyo ya EFD au Electronic Fiscal Devices, kama unataka maelezo zaidi unaweza kutembelea tovuti ya TRA au piga simu za bure kwa Tanzania 0800 750 075 au 0800 780 078.

Kwa habari zaidi za teknolojia hakikisha una download App ya Tanzania Tech kupitia Play Store pia usasahau kujiunga na channel yetu ya Tanzania Tech kupitia Youtube ili uweze kupata habari zote za teknolojia kwa njia ya Video.

Amani Joseph

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.