Njia Mpya na Rahisi ya Kuongeza Like na Follower Instagram

Unataka kuongeza Follower na like kwenye Instagram basi hii ni muhimu sana
Kupata Likes na Followers Kupata Likes na Followers

Ukweli ni kwamba ni ngumu sana kutunza akaunti ya instagram hadi kufikia akaunti hiyo kufikisha idadi ya follower ambao kweli wanaweza kukusaidia kwenye biashara yako kwa namna moja ama nyingine, hivyo basi kukusaidia katika hili hii hapa njia mpya na bora zaidi ya kungeza like na follower kwenye akaunti yako ya Instagram kwa haraka zaidi.

Kwa kuanza hakikisha unakuwa na internet ya kutosha kwenye simu yako na pia hakikisha unatumia simu ya Android, kwa wale wanaotumia simu za iOS itabidi msubiri kidogo wakati tukishulikia njia hii kufanya kazi kwenye simu zenu. Basi baada ya kusema hayo moja kwa moja endelea kwa kufuata hatua hizi rahisi sana hapo chini.

Download App Hii Hapa kisha install kwenye simu yako kisha endelea kwa kufuata maelekezo hayo kwenye video hapo chini. Kama utakwama mahali popote usiache kuuliza kupitia shemu ya maoni hapo chini, njia hii ni ya haraka sana na ni moja kati ya njia rahisi zilizopo sasa.

Advertisement

Pia unaweza kufuata hatua hizi zingine ili kuongeza like na followers kwenye akaunti yako ya Instagram pamoja na Facebook.

Pia kumbuka App hii ni nzuri sana kama unataka likes sababu watu wengi wanaotumia app hii wanatafuta followers hivyo uwezekano wa watu ku-unfollow akaunti yako baadae ni mkubwa hivyo njia hii ni nzuri sana kama unataka like nyingi, lakini pia unaweza kujaribu kutumia kwa kutafuta followers kisha tuambie matokeo kupitia sehemu ya maoni hapo chini.

Kwa habari zaidi za teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech pia unaweza kudownload App ya Tanzania Tech ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka, pia usisahu kujiunga na channel yetu ya Tanzania Tech ili kupata habari na maujanja mbalimbali ya teknolojia kwa njia ya video.

13 comments
  1. Ahsanten sana jaman mimi nirikua nataka jinsi ya Ku Unlock simu zinazo tumia line moja zitumie line zote naombeni msaada wenu

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use