AmaniJoseph Hivi karibuni bila shaka umekutana na matatizo mengi ya mtandao wa Vodacom Tanzania, japo kuwa Vodacom ni mtandao unaongoza kwa sasa kumekuwa na matatizo mengi ya kiufundi Kama kutuma pesa kuto kufika kwa wakati na matatizo mengine mengi sana. Japokuwa Vodacom walisha Tangaza kuwa wanafanya marekebisho ya miundombinu lakini nadhani bado matatizo ni mengi kuliko matarajio. Wewe umekutana na changamoto gani unapotumia mtandao wa Vodacom Tanzania.