DSTV ni moja kati ya kisimbusi bora kwa burudani mbalimbali za michezo, maigizo na burudani nyingine nyingi. Kama unafikira kujiunga na DSTV basi ni vyema kufahamu vifurushi vya DSTV na bei zake, vifurushi hivi vinapatikana kwa DSTV hapa nchini Tanzania na unaweza kuchagua kifurushi cha bei nafuu zaidi au kile chenye channel ambazo unafurahia zaidi. Unaweza kuangalia vifurushi hivi kupitia hapo chini.
Vifurushi vya DSTV na Bei Zake
- Edited
DSTV inakuja na vifurushi mbalimbali ambavyo vinapatikana kwa bei nafuu ambavyo vinaweza kukidhi mahitaji ya kila mtu au kila familia. Kupitia hapa tume kuwekea list nzima yenye kuonyesha vifurushi vya DSTV pamoja na bei zake kwa hapa nchini Tanzania. Kumbuka list hii imetengenezwa mwezi Novemba hivyo vifurushi hivi na bei hizi ni za sasa.
Vifurushi vya DSTV na Bei Zake Tanzania (2021)
Zifuatazo ni aina za vifurushi vinavyo patikana kwenye kisumbusi au kingamuzi cha DSTV kwa hapa nchini Tanzania. Kumbuka bei na vifurushi hivi vinaweza kubadilika muda wowote.
JINA LA KIFURUSHI DSTV | BEI YA KIFURUSHI DSTV |
---|---|
DSTV Poa | TZS 9,900 |
DSTV Access | TZS 21,000 |
DSTV Compact | TZS 51,000 |
DSTV Compact Plus | TZS 93,000 |
DSTV Premium | TZS 145,000 |
DSTV Premium with French | TZS 236,000 |
Kama unataka kufahamu zaidi kuhusu DSTV au kuhusu gharama za DSTV kwa ujumla unaweza kuwasiliana na DSTV Tanzania kwa urahisi kwa kusoma hapa.
- Best Answerset by AmaniJoseph
Updated Price This Month Vifurushi vya DSTV na Bei Zake Tanzania (2022)
Zifuatazo ni aina za vifurushi vinavyo patikana kwenye kisumbusi au kingamuzi cha DSTV kwa hapa nchini Tanzania. Kumbuka bei na vifurushi hivi vinaweza kubadilika muda wowote.
JINA LA KIFURUSHI DSTV | BEI YA KIFURUSHI DSTV |
---|---|
DSTV Poa (50+ Channels) | TZS 10,000 / Monthly |
DSTV Bomba (90+ Channels) | TZS 23,000 / Monthly |
DSTV Shangwe (115+ Channels) | TZS 34,000 / Monthly |
DSTV Compact (145+ Channels) | TZS 56,000 / Monthly |
DSTV Compact Plus (155+ Channels) | TZS 99,000 / Monthly |
DSTV Premium (170+ Channels) | TZS 155,000 / Monthly |
Kama unataka kufahamu zaidi kuhusu DSTV au kuhusu gharama za DSTV kwa ujumla unaweza kuwasiliana na DSTV Tanzania kwa urahisi kwa kusoma hapa.