Kama unataka kuwasiliana na idara ya huduma kwa wateja CRDB unaweza kuwasiliana kupitia njia mbalimbali ambazo nime kuwekea kupitia jedwali hapo chini. Kumbuka njia zote zinaweza kusaidia kuwasiliana na huduma kwa wateja hivyo unaweza kuchagua njia ambayo ni rahisi zaidi kwako.
Huduma kwa Wateja CRDB
Unaweza kuwasiliana na Huduma kwa Wateja CRDB kwa kupitia njia hizi.
CRDB HUDUMA KWA WATEJA | NJIA ZA MAWASILIANO |
Namba za Simu | 0755197700 au 0789197700 au 0714197700 / +255222197700 |
Barua Pepe | info@crdbbank.com |
Tovuti | Crdbbank.co.tz |
Hizo ndio njia za mawasiliano ya huduma kwa wateja CRDB Tanzania, unaweza kuwasiliana na CRDB pia kupitia mitandao ya kijamii kwenye kurasa za CRDB ambazo zimethibitishwa (Verified).