Kuwasiliana na huduma kwa wateja DSTV Tanzania kwa haraka na urahisi hakikisha unayo namba ya Smartcard yako ya kisimbusi cha DSTV. Kama tayari unayo namba yako ya Smartcard yako moja kwa moja unaweza kuwasiliana na DSTV Tanzania kupitia njia hizi.
Huduma kwa Wateja DSTV Tanzania
Unaweza kuwasiliana na DSTV Tanzania kwa urahisi kwa kutumia njia mbalimbali, zipo njia tofauti kama vile njia ya kupiga simu na njia ya kuwasiliana kupitia WhatsApp. Unaweza kuchagua njia ambayo ni rahisi kwako.
HUDUMA KWA WATEJA DSTV | NJIA YA MAWASILIANO |
Namba ya Simu | +255784104700 |
Kupitia WhatsApp | 0677666111 |
Nahizo ndio njia za mawasiliano ya huduma kwa wateja ya DSTV Tanzania, kumbuka kwa kutumia njia ya kupiga simu unatakiwa kuwa na salio kwenye simu yako au kifurushi kwani namba hiyo sio Toll Free sio namba ya bure.
Pia kupitia WhatsApp unatakiwa kuwa na Internet kwenye simu yako ili kuweza kuwasiliana na huduma kwa wateja DSTV Tanzania kupitia WhatsApp. Unaweza kuchagua njia ya mawasiliano kwa kubofya namba moja kati ya hizo hapo juu na utapelekwa kwenye huduma usika moja kwa moja.