Ttech Je unataka kujua gharama za kutoa pesa kutoka Mpesa.? Kama unataka kujua gharama zote za kutoa pesa kupitia Mpesa unaweza kusoma hapa chini.
Ttech Kama unataka kujua gharama za Mpesa ikiwa pamoja na gharama za kutuma na kupokea pesa, gharama za kufanya miamala kwenda kwa watumiaji wa mitandao mingine pamoja na gharama nyingine mbalimbali za Vodacom Mpesa basi unaweza kusoma gharama zote kupitia link hapo chini. Bofya Hapa Kupata Gharama za Mpesa Click to reveal Bofya Hapa Kupata Gharama za Mpesa Click to hide https://url.tanzaniatech.one/P5B KUMBUKA: Hakikisha taarifa zako za M-Pesa ni sahihi vinginevyo fika katika duka la Vodacom lililopo karibu nawe kuhakiki taarifa zako Unaweza kutuma hadi Tshs 3m kwa siku au kuwa na hadi Tshs 5m kwenye akaunti yako ya M-Pesa wakati wowote ukikamilisha usajili wako Hakikisha kama umesajiliwa kikamilifu kwa kupiga *106# Baada ya ku swap namba yako ya Vodacom, unaweza kuanza kutumia M-Pesa baada ya masaa 48 Unapofanya malipo kwa wafanyabiashara waliosajiliwa katika huduma ya LIPA KWA M-PESA utatozwa ada ndogo ya 0.5% ya kiasi unacholipa kwa malipo yote ya hadi Tsh 1,500,000/=. Kwa malipo ya kati ya Tsh 1,500,001/= hadi Tsh 2,000,000/= utatozwa ada ya Tsh 7,500/= na kwa malipo ya kuanzia Tsh 2,000,001 na kuendelea utatozwa ada ya Tsh 8,000/= Kwa msaada zaidi wasiliana na huduma kwa wateja kwa kupiga namba 100 bure