Nafasi ya Kukuza Biashara Yako

Tanzania Tech tunakupa nafasi ya KUKUWA kibishara kwa kukupa njia bora na rahisi za kuweza kutangaza biashara yako.

Kupitia Tovuti yetu, Utaweza kupata nafasi za matangazo za kisasa pamoja na njia mbalimbali za kuhakikisha biashara yako inawafikia wateja wako kwa urahisi zaidi. Tanzania Tech tunakupa aina tatu za matangazo ambazo unaweza kuzijua zaidi kwa kusoma zaidi kwenye ukurasa huu au unaweza kupakua Catalog yenye bei zetu na aina za matangazo kwa kubofya hapo chini.

Fahamu Zaidi

Aina za Matangazo

01.

Matangazo ya Picha

Aina hii ya Matangazo ya Picha hua Mwanzo, Katikati au Ndani ya makala, Matangazo haya huweza kubadilika kulingana na uhitaji wa mteja. Unaweza kuangali mfano wa Mtangazo hayo kwa kupakua Catalog yetu hapo juu.

02.

Matangazo ya Makala

Aina hii ya Matangazo ya Makala hua ni makala maalumu kwaajili ya bidhaa yako, Hapa inakubidi makala zako ziendane na makala zetu hii ikiwa na maana ziwe makala za teknolojia. Angalia mfano kwa kupakua Catalog yetu.

03.

Matangazo ya App

Haya ni Matangazo ambayo yataweza kutokea ndani ya programu zetu za simu za mifumo yote ya Android pamoja na iOS, Hapa matangazo yako yanabidi kuwa kwenye muundo sambamba yaani muundo utakao endana na App zetu.

Wasiliana Nasi