Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

WordPress Yaongeza Ulinzi wa HTTPS Kwenye Blog Zake

WordPress Yaongeza Ulinzi wa HTTPS Kwenye Blog Zake WordPress Yaongeza Ulinzi wa HTTPS Kwenye Blog Zake

WordPress.com imetangaza hivi karibuni kuongeza ulinzi maalumu kwa watumiaji wote wa blog zake hii ikiwa inahusu blog zote ambazo zinatumia WordPress, ukitembelea blog mbalimbali zenye kiunganishi cha wordpress.com utaona nyingi kwa sasa zina mfumo huo mpya wa HTTPS.

Blog nyingi za wordpress zilikua haziko salama kutokana na kutokua na ulinzi maalumu wa HTTPS lakini sasa hata kama wewe unatumia blog ya wordpress yenye Domain yako utapata huduma hiyo ya bure ya HTTPS hii ikiwa na maana badala ya blog yako kuwa http://tanzaniatech.one itabadilika na kuwa https://www.tanzaniatech.one vilevile utaona alama ya kufuli la kijani kwenye upande wa kushoto juu ikiwa na maana blog yako inayo ulinzi wakutosha.

Advertisement

Jinsi ya kuwasha ulinzi huo maalumu usiwe na wasiwasi kwani wordpress watawasha huduma hii automatic kwa watumiaji wake wote duniani kote. Hapo awali huduma hii ilikua ni lazima kulipia kwa kununua cheti maalumu ambacho ulikua ni lazima kukilipia kwa mwezi karibia dollar za kimarekani 99 USD sawa na shilingi za kitanzania Tsh 216552.60

1 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use