Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Whats App Yatoa Mabadiliko Mapya ya Emojis

whatsapp emoj whatsapp emoj

Karibia na siku ya wapendendanao Whats App ilitoa update yanye change log namba 2.12.441, update hii inaonekana kuongeza kiasi cha picha zenye jina maharufu kama emoji, emoji hizo nyingi ni maalumu kwa siku ya wapendanao, update hiyo ilikua ipo kwenye application ya Whats App Beta kwa muda wa miezi miwili, na sasa update hiyo iko tayari kwenye application hiyo ya Whats App.

Update hiyo Version 2.12.441 imesha anza kupatikana kwa watu wote wenye uwezo wa kutumia emoji katika smartphone zao, hata hivyo emoji zilizo ongezwa ni kama vile emoji ya uso juu chini, emoji ya roboti, emoji mpya ya moyo mwekundu na emoji nyingine nyingi.

Advertisement

Kwa habari zaidi za emoji hizo na application ya whats app kwa ujumla soma blog hii kila siku, pia update hiyo ya whats app inaonekana kufikia wateja wake taratibu, kwa hiyo kama bado ujaipata usiwe na wasiwasi, hata hivyo ni watumiaji wachache duniani wameipata update hiyo ya what app yenye change log 2.12.441. Kwa watumiaji wa whats app tanzania tutaendelea kuwajulisha zaidi.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use