Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanataka kuweka password kwenye sehemu yoyote ndani ya simu yako ya Android basi makala hii ni kwa ajili yako. Kupitia makala hii utaweza kuweka password kwenye settings, kwenye SMS, au sehemu nyingine yoyote ndani ya simu yako.
Basi bila kuendelea kupoteza muda zaidi moja kwa moja endelea kwa kuangalia video hapo chini kisha fuata hatua zote nilizokuelekeza.
Hatua ya kwanza na muhimu unatakiwa kuingia kwenye kupakua app hii ya Message Locker, hakikisha unapakua app hii kupitia link hapo chini kwani zipo app nyingi sana Play Store zenye jina kama hilo. Hakikisha unapakua app hii kwa kubofya link hapo chini.
Kwa kufuata hatua zote hapo juu natumaini utakuwa unaweza kuweka password kwenye sehemu yoyote ndani ya simu yako ya Android. Kama una maoni au kuna mahali umekwama unaweza kuuliza kupitia sehemu ya maoni hapo chini.
chief hizo link unazoweka zinafail aiseee yaani haziendi moja kwa moja kwenye play store
Link zenu hazielekezi moja kwa moja kwenye play store .