Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Wallpaper Halisi ya Samsung Galaxy S9 Imevuja (Download Hapa)

Download hapa wallpaper halisi ya simu mpya ya Samsung Galaxy S9
Wallpaper Halisi ya Samsung Galaxy S9 Imevuja (Download Hapa) Wallpaper Halisi ya Samsung Galaxy S9 Imevuja (Download Hapa)

Hivi karibuni mtaalamu wa kuvujisha muonekano wa simu kabla hazija zinduliwa Evan Blass, alivujisha picha ambayo inasemeka ndio muonekano halisi wa simu hiyo mpya. Lakini kama haitoshi mtaalamu huyo hivi leo ame vujisha pia Wallpaper halisi au Original ya simu hiyo inayo tegemewa kutoka mwishoni mwa mwezi wa pili.

Wallpaper hiyo ambayo ilionekana kwenye picha ambazo Evan Blass alizivujisha mapema wiki iliyopita (picha hapo juu) sasa unaweza kupakua wallpaper hiyo na kuweka kwenye simu yako hata kabla ya kutoka rasmi kwa simu hiyo.

Advertisement

Kama unataka kujaribu muonekano wa Galaxy S9 kwenye simu yako unaweza kudownload Wallpaper hiyo kwenye simu yako kwa kupakua wallpaper hiyo moja kwa moja kwenye simu yako ya mkononi kwa kubofya HAPA.

1 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use