Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Wachezaji Wapya Waongezwa Kwenye Game ya Mortal Kombat X

Wachezaji Wapya Waongezwa Kwenye Game ya Mortal Kombat X Wachezaji Wapya Waongezwa Kwenye Game ya Mortal Kombat X

Kwa wale mnaopenda Game ya Mortal Kombat X iliyopo kwenye Mfumo wa Smartphone na mfumo wa PC pamoja na PS4 habari njema kwenu wachezaji wapya katika Game hiyo watakuja hivi karibuni wachezaji hao ni Brutality Alien, Triborg, Leatherface na Bo Rai Cho, Wachezaji hawa watakuja hivi karibuni kwenye Game yako ya Android au kama unatumia PC pia, utakapo shinda kuwapata wachezaji hao ndio utakua uko tayari kucheza na wachezaji hao wapya kwenye Game hiyo ya Mortal Kombat X.

Kwa wale wasio jua Game hii ya Mortal Kombat ni game iliyokua toka siku nyingi kuanzia miaka ya 1994 na Game hii ilikua ikitumika kwenye vifaa vya Nintendo Game kwa sasa inamilikiwa na kampuni ya Sony kampuni ambayo imeleta mtazamo mpya wa Game hiyo inayopendwa duniani kote.

Advertisement

Ili kucheza Game hii katika simu yako ya Android ni lazima simu yako iwena na ram inayofikia kiwango cha 2GB na Nafasi isiopungua GB 1.5 Smartphone nyingi za sasa zina uwezo wa ku-play Game hii.

Download Hapa Game hii ya Mortal Kombat X kwa wale wenye mfumo wa Android

Mortal Kombat
Price: Free

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use