Siku chache zimebaki mpaka kuzinduliwa kwa simu mpya ya samsung galaxy s8, lakini kukaribia kutoka kwa simu hiyo haku maanishi simu hiyo itaacha kuonyeshwa kwenye picha mbalimbali mitandaoni. Hivi karibuni kumevuja video yenye kuonyesha vizuri baadhi ya sifa na muonekano wa simu hiyo kwa ujumla.
Simu hiyo imeonekana kwenye video hiyo ikiwa na sensor kwenye kioo na sio kwenye kitufe cha katikati kama ilivyozoeleka. Simu hiyo pia imeonekana kuwa na screen kubwa isio na makava ya plastick kwa juu na chini endelea kutembelea Tanzania Tech kujua zaidi.
Kwa habari zaidi za teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech pia unaweza kudownload App ya Tanzania Tech ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka, pia unaweza kujiunga na channel yetu ya Tanzania Tech ili kupata habari na maujanja ya teknolojia kwa video.