Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Uzinduzi wa Samsung S7 Siku ya Jumapili Tarehe 21

Uzinduzi wa Samsung S7 Siku ya Jumapili Tarehe 21 Uzinduzi wa Samsung S7 Siku ya Jumapili Tarehe 21

Siku ya tarehe 21 Feb 2016 ndio siku ambayo kampuni bora ya simu za mkononi Samsung inazindua simu yake mpya ya Samsung Galaxy S7, usinduzi huo utafanyika uko Barcelona kwenye tamasha liitwalo “Mobile World Congress”. Mamia ya watu kote duniani watajumuika katika uzinduzi huo utakao fanyika uko Barcelona Saa 8:30 PM kwa saa za Africa mashariki.

Mtandao maarufu wa habari za technolojia uitwao CNET utaonyesha Live uzinduzi huo kupitia website yake hiyo, ili kuangalia shuhuli hizo bonyeza link hiyo hapo chini kisha ujumuike na mamia ya wapenda smartphone kote duniani kuangalia uzinduzi wa simu mpya ya Samsung Galaxy S7.

Advertisement

Kumbuka Uzinduzi huo ni Jumapili Saa 8: 30 Usiku kwa saa za Afrika Mashariki.

1 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use