Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Angalia Hapa Mubashara Uzinduzi wa Simu Mpya Apple

Angalia mubashara uzinduzi wa iPhone 11
Angalia Hapa Mubashara Uzinduzi wa Simu Mpya Apple Angalia Hapa Mubashara Uzinduzi wa Simu Mpya Apple

Kama unataka kuangalia uzinduzi mzima wa simu mpya za iPhone 11 basi unaweza kuangalia hapa moja kwa moja uzinduzi huo, ila kama unataka kujua zaidi basi endelea kutembelea Tanzania Tech tutakuletea uzinduzi huu ukiwa ndani ya dakika chache.

Baada ya simu za iPhone 11, iPhone 11 Pro na iPhone 11 Max kuzinduliwa rasmi sasa unaweza kuangalia uzinduzi huu ndani ya dakika 11.

Advertisement

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use