Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Video : Ugumu na Ubora wa Simu Mpya ya LG Wing

Angalia video hii kabla ya kufikiria kununua simu hii mpya ya LG Wing
Video : Ugumu na Ubora wa Simu Mpya ya LG Wing Video : Ugumu na Ubora wa Simu Mpya ya LG Wing

LG wing ni moja kati ya simu ambazo ni simu za tofauti sana hadi sasa, simu hii inakuja na mtindo wa tofauti sana ambao haujazoeleka kwenye simu za siku hizi. Kampuni ya LG ilizindua simu hii ya LG Wing septemba 14 na tayari kampuni ya LG imeanisha kuwa simu hii itapatikana marekani kupitia kwa kampuni za simu za Verizon, na baadae AT&T na T-Mobile.

Kwa kuwa simu hii inakaribia kuingia sokoni ni wazi kuwa unajiuliza simu hiii ni bora au sio bora.? Je inafaa kwa matumizi ya kila siku au ni simu ambayo unatakiwa kuwa nayo tu.. Kujibu maswali hayo nimekuletea video hii ambayo itakuonyesha ugumu na ubora wa simu hii mpya kutoka LG.

Advertisement

Kama unataka kujua zaidi unaweza kusoma hapa kujua ugumu na ubora wa simu mpya ya Samsung Galaxy Z Flip. Kwa habari zaidi endelea kutembelea Tanzania Tech kila siku.

2 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use