Mwisho wa mwaka ndio huo umekaribia na huu ndio wakati mzuri wa kuanza kuangalia ulichokifanya ndani ya mwaka huu mzima. Kwa upande wa teknolojia tutakua tukihesabu kumi bora za mambo mbalimbali na kwa leo twende tukaangalie tovuti kumi (10) za Tanzania ambazo zimetembelewa sana ndani ya mwaka huu 2016.
Namba 10 Kwenye List – Tanzania Nzima Namba – 48
Tanzania Revenue Authority
- Imetembelewa na Asilimia 91 ya Watanzania
- Asilimia 2.7 Netherlands
- Asilimia 0.7 Uganda
Namba 9 Kwenye List – Tanzania Nzima Namba – 30
Mwananchi
- Imetembelewa na Asilimia 79.8 ya Watanzania
- Asilimia 5.4 United Kingdom
- Asilimia 2.2 Iran
Namba 8 Kwenye List – Tanzania Nzima Namba – 27
Mpekuzi Huru
- Imetembelewa na Asilimia 86 ya Watanzania
- Asilimia 5.8 China
- Asilimia 1.9 Germany
Namba 7 Kwenye List – Tanzania Nzima Namba – 25
Higher Education Students’ Loans Board
- Imetembelewa na Asilimia 92.1 ya Watanzania
- Asilimia 2.5 Ufaransa
- Asilimia 2.0 United Kingdom
Namba 6 Kwenye List – Tanzania Nzima Namba – 24
Swahili Times
- Imetembelewa na Asilimia 88.7 ya Watanzania
- Asilimia 1.8 United State
- Asilimia 1.4 United Kingdom
Namba 5 Kwenye List – Tanzania Nzima Namba – 21
M Bet
- Imetembelewa na Asilimia 93.0 ya Watanzania
- Asilimia 4.5 Ufaransa
- Asilimia 0.7 United Kingdom
Namba 4 Kwenye List – Tanzania Nzima Namba – 20
Bongo 5
- Imetembelewa na Asilimia 76.0 ya Watanzania
- Asilimia 7.4 Ufaransa
- Asilimia 2.9 United State
Namba 3 Kwenye List – Tanzania Nzima Namba – 10
- Imetembelewa na Asilimia 91.4 ya Watanzania
- Asilimia 1.0 Ufaransa
- Asilimia 0.9 United Kingdom
Namba 2 Kwenye List – Tanzania Nzima Namba – 8
Jamii Forum
- Imetembelewa na Asilimia 74.5 ya Watanzania
- Asilimia 7.3 Ufaransa
- Asilimia 3.8 China
Namba 1 Kwenye List – Tanzania Nzima Namba – 4
Millard Ayo
- Imetembelewa na Asilimia 90.6 ya Watanzania
- Asilimia 1.5 Kenya
- Asilimia 1.2 United States
Na hiyo ndio list ya tovuti za Tanzania ambazo zimetembelewa sana ndani ya mwaka huu 2016, Ongera kwa tovuti ya Millard Ayo kwa kuwa namba 4 kwa tanzania ikitanguliwa na tovuti za google.com, youtube.com na yahoo.com. Data hizi zinatoka kwenye tovuti ya Alexa.com ambayo inahusika na kukusanya data za tovuti mbalimbali.
Kwa habari zaidi za teknolojia unaweza kujiunga nasi kupitia page zetu za Facebook, Instagram, Twitter pamoja na Youtube, pia kama unataka kupata habari za teknolojia kwa haraka pindi zitakapo toka unaweza kudownload App ya Tanzania tech kupitia Play store.