Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Tengeneza Pesa Mtandaoni Kupitia Simu Yako (2023)

Njia hii inafanya kazi kwa mtu yoyote hata iliyopo Tanzania
Tengeneza Pesa Mtandaoni Kupitia Simu Yako (2023) Tengeneza Pesa Mtandaoni Kupitia Simu Yako (2023)

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao umekuwa ukitafuta njia mbalimbali za kutengeneza pesa mtandaoni basi leo ni wakati wako.

Kupitia makala hii nitaenda kuonyesha njia rahisi sana ambayo unaweza kutumia kutengeneza pesa mtandaoni kupitia simu yako ya mkononi ya Android. Kitu cha muhimu unacho hitaji ni simu yako ya Android au iOS na Internet.

Advertisement

Kama tayari unavyo viwili basi moja kwa moja twende kwenye hatua hizi za muhimu na rahisi. Kumbuka njia hii haito kutajirisha bali itakusaidia kutengeneza pesa mtandaoni ambazo unaweza kufanya mambo mbalimbali ya kawaida.

Kwa kusema hayo moja kwa moja twende kwenye hatua hizi za muhimu.

Hatua za Muhimu

Kwa kuanza ingia kwenye simu yako iliyo unganishwa na Internet, kisha moja kwa moja pakua app hapo chini. App hii inapatikana kwenye soko la Play Store na App Store hivyo unaweza kupata kupitia link hapo chini. Kama unatumia app ya Tanzania Tech, link inaweza ikawa haifanyi kazi hivyo tembelea tovuti yetu kupitia kivinjari (Browser) ili kupata link husika.

Download App Hapa

Pia njia hii inaweza kufanya kazi hata kama huna simu, unaweza kuendelea kutengeneza pesa hata kwa kutumia kompyuta.

Baada ya kupakua app hii moja kwa moja unatakiwa kutengeneza akaunti, unaweza kutengeneza akaunti kwa kutumia akaunti yako ya Google au Barua Pepe.

Pia ni muhimu kuweka namba yako ya simu, hii itasaidia zaidi kuweka akaunti yako kwenye usalama hivyo hakikisha unadhibitisha akaunti yako kwa namba za simu. Baada ya hapo utakuwa uko tayari kuanza kutengeneza pesa mtandaoni.

Tengeneza Pesa Mtandaoni Kupitia Simu Yako (2023)

Kama unavyoweza kuona unatakiwa kufanya kazi mbalimbali ambazo zitakuitaji kufanya mambo mbalimbali na utalipwa kulingana na kazi husika.

Kuna kazi unaweza kulipwa kuanzia dollar $1 na kuendelea kulingana na kazi. Baada ya kumaliza kazi pesa yako itawekwa moja kwa moja kwenye akaunti yako.

Pia ni muhimu kuchagua lugha ya Kingereza au English ili kupata kazi nyingi zaidi, pia unaweza kufanya test mbalimbali ili kuweza kupata kazi nyingi zaidi.

Hitimisho

Kupitia njia hii bila shaka utaweza kuanza safari yako ya kutengeneza pesa matandaoni kupitia simu yako. Kama unataka kujifunza njia nyingine mbalimbali basi unaweza kusoma hapa kwani tunazo njia nyingi za uhakika za kutengeneza pesa mtandaoni, nyingine zinatumiwa na watu hadi sasa!

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use