Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Jinsi ya Kutengeneza Forum Bila Kuwa na Domain na Hosting

Tengeneza forum ya kisasa bure kwa asilimia 100 bila domain wala hosting
Jinsi ya Kutengeneza Forum Bila Kuwa na Domain na Hosting Jinsi ya Kutengeneza Forum Bila Kuwa na Domain na Hosting

Karibu kwenye maujanja, siku ya leo nitaenda kufundisha njia mpya na rahisi ya kutengeneza forum bila kuwa na domain wala hosting. Njia hii ni nzuri kwa mtu yoyote ambaye anataka kuwa na forum yake pekee kwa haraka na bila kulipia kitu chochote.

Kitu cha msingi unacho li kuwezesha njia hii ni pamoja na kuwa na barua pepe inayofanya kazi kwa asilimia 100, pia unatakiwa kuwa na internet ambayo najua unayo, na hatua ya mwisho unatakiwa kuwa na muda angalu dakika tano tu ili kukamilisha njia hii. Kama unayo yote hayo sasa endelea kwa kuanza hatua hizi kupitia maelezo hapo chini.

Advertisement

LINK MUHIMU

Kwa kufuata maelezo hapo juu na uhakika utakuwa umeweza kutengeneza forum yako bila kutumia gharama yoyote na bila kuwa na domain wala hosting. Kama kuna mahali umekwama usisite kutuandikia kupitia sehemu ya maoni hapo chini, pia hakikisha unasoma hapa kujua jinsi ya kupata domain kwa Tsh 3000 pamoja na hatua kwa hatua jinsi ya kufanya domain hiyo ifanye kazi.

Pia kama unataka forum yako mwenyewe unaweza kusoma hapa kujua jinsi ya kutengeneza forum pale unapokuwa na domain na hosting.

Kama unataka kuwa wa kwanza kujifunza maujanja kama haya, hakikisha una subscribe kwenye channel yetu kupitia mtandao wa YouTube hapa, pia hakikisha unaweza sehemu ya notification ili kupata video zetu zote za mafunzo ambazo tutakuwa tunaweka.

1 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use