Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Tovuti Inayotengeneza $100 Kila Mwezi (Bila Kufanya Chochote)

Mfumo huu utakusaidia kutengeneza pesa kupitia Google Adsense
Tovuti Inayotengeneza $100 Kila Mwezi (Bila Kufanya Chochote) Tovuti Inayotengeneza $100 Kila Mwezi (Bila Kufanya Chochote)

Kama umekuwa msomaji wa Tanzania Tech kwa muda mrefu basi niwazi kuwa unajua kuwa hapa tunaongelea njia mbalimbali za kutengeneza pesa mtandaoni.

Mbali ya kuangalia njia mbalimbali za kutengeneza pesa mtandaoni, pia tunasaidia watu mbalimbali kuweza kufikia malengo yao na kuweza kutengeneza pesa mtandaoni kama tunavyofanya sisi.

Advertisement

Basi kwa kusema hayo moja kwa moja twende nikuonyeshe jinsi ambavyo nimeweza kutengeneza dollar 100 kila mwezi bila kuandika makala au bila kufanya kitu chochote ikiwa na maana ya kuandaa na kuandika makala kwa namna yoyote.

Kwa kuanza labda nikushirikishe mapato yangu ya Adsense kwa miezi mitatu iliyopita, hii ikiwa na maana ya kuanzia mwezi wa tano hadi sasa.

Kama unavyoweza kuona hapo juu hivyo ndivyo ambavyo nimeweza kutengeneza dollar 100 kila mwezi kwa muda wa miezi mitatu hadi sasa. Kifupi ni kuwa njia hii inaweza kusaidia kupata pesa mtandaoni ambayo inaweza kukusaidia kuendesha maisha yako ya kawaidia.

Sasa moja kwa moja twende kwenye mfumo huu ambao ni wazi kuwa wengi wenu unaweza kuwasaidia sana hasa kama ndio una anza biashara hizi za mtandaoni.

Tovuti Inayotengeneza $100 Kila Mwezi (Bila Kufanya Chochote)

Kama unavyoweza kuona hapo juu huu ndio mfumo unao nisaidia kutengeneza pesa mtandaoni kwa hadi dollar 100 kila siku, unaweza kuona sifa za mfumo huu kupitia hapo.

  • Mfumo huu unaweza kutafuta makala za aina yoyote na kuziweka kwenye website hii bila wewe kuandika makala ya aina yoyote.
  • Unaweza kufanya mfumo huu uchukue makala kutoka website yoyote ile na unaweza kuweka website nyingi kadri uwezavyo.
  • Mfumo huu unakubaliwa matangazo na Google Adsense kwa haraka na unakuja na sehemu za matangazo ambazo zinafanya utengeneze pesa kwa haraka.
  • Utaweza kuchukua content kwa kubofya link moja tu kila saa unapotaka kuchukua content hizo, yaani utaweza kupublish content kwa kubofya link.
  • Mfumo huu unakuja na Size ya MB 2 hivyo unaweza kuhost kwenye hosting yoyote.
  • Unaweza kutengeneza website kama Google ambayo ni search engine na unapo search website nyingine zinaonekana kama matokeo.
  • Huna haja ya kuwa na kompyuta kutumia mfumo huu kwani unaweza kuendesha kwa kutumia simu yako ya mkononi.
  • Na mengine mengi..

Unaweza Kuangalia Mfumo Huo Hapa

Unaweza kupata mfumo huu kwa bei rahisi ya 135,000 ikiwa pamoja na domain yoyote ya .COM pamoja na hosting ya GB 100 kwa mwaka mzima. Pia utasaidiwa kuanya setup ya mfumo huu ikiwa pamoja na kuchagua aina ya makala ambazo zitakuwa bora kwako.

Unaweza kupata mfumo huu kwa kuwasiliana kupitia ukurasa hapa, au unaweza kutuma meseji ya WhatsApp kupitia namba hapa. Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti yetu ya biashara hapa.

8 comments
  1. aomba msaada ninawezaje kupata account ya bank ambayo imeunganishwa na internet bank ili niweze kutoa pesa online maana huku kwetu awewezi kuiwezesha sasa ninahitaji kupata msaada zaidi

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use