Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Simu Mpya ya TECNO CAMON 18 Yavunja Rekodi ya Mauzo

Watu wengi wamevutiwa na kamera, na GIMBAL CAMERA feature..
Simu Mpya ya TECNO CAMON 18 Yavunja Rekodi ya Mauzo Simu Mpya ya TECNO CAMON 18 Yavunja Rekodi ya Mauzo
Wateja wa TECNO CAMON 18

Simu ya TECNO CAMON 18 yavunja rekodi ya mauzo ndani ya wiki mbili kuingia sokoni. Simu zaidi ya 800 zimeuzwa Tanzania nzima ndani yam da wa wiki mbili.

Hii inapelekea jinsi mwitikio mkubwa wa watu walivyoipokea simu hii ya CAMON 18. Ambapo watu wengi wamevutiwa na kamera, uwezo wa kuhifadhi, betri kubwa na GIMBAL CAMERA feature ambayo inapatikana katika CAMON 81 Premier.

Advertisement

Simu Mpya ya TECNO CAMON 18 Yavunja Rekodi ya Mauzo

Pia simu ya CAMON 18 imekuwa gumzo mitaani, madukani na pia kwenye kurasa za mitandao ya kijamii, hii inaonyesha kuwa simu hii ni bomba zaidi kwa vijana wanaokwenda na wakati. Ambapo kwa takwimu zinaonyesha zaidi ya simu 400 pekee zimeuzwa Dar es salaam pekee ikifatiwa na mikoa ya Arusha, Mwanza, Dodoma ikiwa jumla zaidi ya simu 300 zimeuzwa kwenye mikoa hiyo.

Mbali na kuwa na sifa nyingi za kumvutia mteja, pindi ununuapo simu ya CAMON 18 unaingia moja kwa moja kwenye droo ya kushinda tiketi za ndege mwaka mzima kutoka Air Tanzania na kifurushi cha dakika, SMS na MB za kuperuzi mwaka mzima kutoka Vodacom. Hii sio ya kukosa. Tembelea sasa maduka ya TECNO kujipatia yako .

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use