Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Game ya Super Mario Sasa Kuja Kwenye Android Tarehe 23

Kwa wapenzi wa game jiandae kucheza game ya Super Mario kwenye simu yako ya Android
Super Mario Game Super Mario Game

Ni takriban miezi mitatu (3) tangu kurudi kwa game ya Super Mario ambayo hapo awali ilikua ikijulikana sana kwenye vifaa vya Nintendo Game Boy, Sega pamoja na vifaa vingine vingi vya zamani vya miaka ya 95.

Katika kuhakikisha game hiyo inarudi kampuni ya Nintendo ilirudisha game hiyo kwenye mfumo wa iOS na hivi karibuni jiandae kucheza game hiyo kwenye mfumo wa Android ambapo game hiyo itapatikana rasmi kuanzia tarehe 23 mwezi huu (March). Kwa mujibu wa Tweet ya kampuni hiyo Game hiyo inatarajiwa kuja sambamba na update za game hiyo kwenye mfumo wa iOS ambapo sasa watumiaji watapata toleo jipya la 2.0 ambalo litakuwa na maboresho mengi zaidi na mapya.

Advertisement

Kwa sasa unaweza kujisajili ili kupata taarifa za game hiyo pindi itakapo toka kupitia Play Store, bofya hapa kama untaka kujisaji ili kuwa wakwanza kucheza game hiyo ambayo ilisha wahi kuwa na katuni yake ambayo ilipendwa sana na watoto kipindi cha miaka ya 95.

UPDATE

Unaweza sasa kudownload Game hiyo kupitia Play Store au Bofya hapo chini na utapelekwa moja kwa moja kwenye ukurasa wa game hiyo ili kuidownload.

Super Mario Run
Price: Free

Kwa habari zaidi za teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech pia unaweza kudownload App ya Tanzania Tech ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka, pia unaweza kujiunga na channel yetu ya Tanzania Tech ili kupata habari na maujanja ya teknolojia kwa njia ya video.

2 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use