Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Sunday Movie #13 Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili Hii

Hii hapa movie nzuri ya kuangalia jumapili ya leo tarehe 29/11/2020
Sunday Movie #13 Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili Hii Sunday Movie #13 Movie Nzuri ya Kuangalia Jumapili Hii

Karibu kwenye Sunday movie, kama kawaidia siku ya leo nakuletea movie nzuri ambayo unaweza kuangalia siku ya leo. Kumbuka unaweza kupakua movie hii kupitia link hapo chini lakini kabla ya kufanya hivyo ni muhimu kuangalia trailer hapo chini kujua kama movie hii inafaa kwako.

Advertisement

Kama umependa movie unaweza kupakua movie hii kupitia link hapo chini, movie hii inakuja na subtitle ya kingereza hivyo usiwe na wasiwasi kuhusu kuelewa.

Kumbuka link hii inaweza kuondolewa muda wowote hivo ni muhimu kupakua movie hii sasa kama umeipenda.

Pakua 480p (MB 493.3)

Pakua 720p (GB 1.1)

Kama unataka movie zaidi unaweza kusoma hapa kujua zaidi kuhusu Sunday Movie 12 iliyopita, pia soma hapa kujua apps nzuri za kudownload movie kwa urahisi na haraka.

3 comments
    1. Ndio movie zote zinazotolewa hapa zina copyright za watu au kampuni husika, hivyo ni muhimu kuzingatia hilo. Sisi huwa tunaweka link tu ambazo zinapatikana kwenye internet.

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use