Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Sony Yazindua Simu Mpya za Xperia XA2, XA2 Ultra na L2

Hatimaye Sony imerudi tena mwaka huu na simu hizi zenye ubora wa kamera
Simu za Sony Xperia XA2, XA2 Ultra na L2 Simu za Sony Xperia XA2, XA2 Ultra na L2

Kampuni maarufu ya Sony imerudi tena mwaka huu 2018 na simu mpya za Sony Xperia XA2, XA2 Ultra pamoja na L2. Simu hizi zimezinduliwa leo huko Las Vegas kwenye mkutano wa CES 2018.

Sifa za Sony Xperia XA2

Advertisement

Sony Xperia XA2 ya kwanza kutoka upande wa kushoto mwaka huu imekuja na sifa na maboresho yafuatayo

  • Ukubwa wa Kioo – Inch 5.2″ 1,920×1,080 chenye teknolojia ya LCD, 424ppi pixel density.
  • Kamera ya Nyuma – Megapixel 23 yenye 1/2.3″ sensor size, f/2.0 aperture, 25mm-equiv. focal length. Hybrid (PD/contrast) autofocus. 2160p/30fps video recording.
  • Kamera ya Mbele – Megapixel 8 yenye uwezo wa kuchukua picha za nyuzi 120-degree field of view pamoja na fixed focus. 1080p/30fps video recording.
  • Mfumo wa Uendeshaji –  Android 8.0 Oreo.
  • Uwezo wa Processor : Snapdragon 630: octa-core 2.2GHz Cortex-A53 CPU, Adreno 508 GPU.
  • Uwezo wa RAM – GB 3
  • Ukubwa wa Ndani – GB 32 inayo ongezwa kwa hybrid microSD.
  • Uwezo wa Battery – battery ya ndani yenye uwezo wa 3,300 mAh pamoja na teknolojia ya QuickCharge 3.0 (fast charging).
  • Viunganishi Vingine – Single/Dual SIM; LTE Cat. 12/13 (600Mbps download); USB-C; Wi-Fi a/b/g/n/ac; GPS; NFC; Bluetooth 5.
  • Rangi ya Simu – Silver, black, blue, na pink
  • Ulinzi – Fingerprint sensor kwa mbele
  • Vitu vingine – Spika moja kwa chini, sehemu ya kuchomeka headphone 3.5mm jack.

Sifa za Sony Xperia XA2 Ultra

Sony Xperia XA2 Ultra ya katikati kwenye picha hapo juu, mwaka huu imekuja na sifa na maboresho yafuatayo

  • Ukubwa wa Kioo – Inch 6.0″ chenye teknolojia ya LCD, 1,920×1,080 resolution, 367ppi pixel density.
  • Kamera ya Nyuma – Megapixel 23 yenye 1/2.3″ sensor size, f/2.0 aperture, 25mm-equiv. focal length. Hybrid (PD/contrast) autofocus. 2160p/30fps video recording.
  • Kamera za Mbele –  ziko mbili moja ina Megapixel 16, ikiwa na teknolojia za 1/2.6″ sensor size, 16:9 aspect, f/2.0 aperture, OIS; autofocus. na nyingine inayo Megapixel 8 yenye uwezo wa kuchukua picha za nyuzi 120 field of view; fixed focus. 1080p/30fps video recording.
  • Mfumo wa Uendeshaji –  Android 8.0 Oreo.
  • Uwezo wa Processor : Snapdragon 630: octa-core 2.2GHz Cortex-A53 CPU, Adreno 508 GPU.
  • Uwezo wa RAM – GB 4
  • Ukubwa wa Ndani – ziko mbili moja ina GB 32 na nyingine GB 64 zote unaweza kutumia hybrid microSD.
  • Uwezo wa Battery – battery ya ndani yenye uwezo wa 3,580 mAh pamoja na teknolojia ya QuickCharge 3.0 (fast charging).
  • Viunganishi Vingine – Single/Dual SIM; LTE Cat. 12/13 (600Mbps download); USB-C; Wi-Fi a/b/g/n/ac; GPS; NFC; Bluetooth 5.
  • Rangi ya Simu – black, blue, na gold
  • Ulinzi – Fingerprint sensor kwa mbele
  • Vitu vingine – Spika moja kwa chini, sehemu ya kuchomeka headphone 3.5mm jack.

Sifa za Sony Xperia L2

Sony Xperia L2 ya kulia kwenye picha hapo juu, mwaka huu imekuja na sifa na maboresho yafuatayo

  • Ukubwa wa Kioo – Inch 5.5″ chenye teknolojia ya LCD, 1,280x720px resolution, 267ppi pixel density.
  • Kamera ya Nyuma – Megapixel 13 yenye 1/3.06″ sensor size, f/2.0 aperture; autofocus. 1080p/30fps video recording.
  • Kamera ya Mbele –  Megapixel 8 yenye uwezo wa kuchukua picha za nyuzi 120-degree field of view pamoja na fixed focus. 1080p/30fps video recording.
  • Mfumo wa Uendeshaji –  Android 7.1.1 Nougat.
  • Uwezo wa Processor – Mediatek MT6737T: quad-core 1.45GHz Cortex-A53 CPU, dual-core Mali-T720 GPU.
  • Uwezo wa RAM – GB 3
  • Ukubwa wa Ndani – GB 32 inayo ongezwa kwa kutumia memory card (microSD)
  • Uwezo wa Battery – battery ya ndani yenye uwezo wa 3,300 mAh.
  • Viunganishi Vingine – Single/Dual SIM; LTE Cat. 4 (150Mbps download); USB-C; Wi-Fi a/b/g/n; GPS; NFC; Bluetooth 4.2.
  • Rangi ya Simu – back; black, gold, na pink
  • Vitu vingine – Spika moja kwa chini, sehemu ya kuchomeka headphone 3.5mm jack.

Na hizo ndio sifa za simu hizo mpya kutoka kampuni ya Sony, kuhusu bei kampuni ya sony imesema itatangaza bei za simu hizo hivi karibuni.

Kwa taarifa zaidi za mkutano wa Consumer Electronic Show (2018), unaweza kufuatilia ukurasa wetu maalum wa CES 2018 na utapata taarifa zote kuhusu mkutano huu pamoja na yote yatakayo jiri.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use