Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Sofa Lenye Uwezo wa Kubadilika na Kuwa Chochote Unachotaka

Sofa Lenye Uwezo wa Kubadilika na Kuwa Chochote Unachotaka Sofa Lenye Uwezo wa Kubadilika na Kuwa Chochote Unachotaka

Ikiwa kwa sasa teknolojia iko mbali sana sio kitu cha kushangaza kwa teknolojia kufika mpaka kwenye vifaa vya samani, hivi karibuni uko marekani MIT’s forward-thinking Senseable City Lab imetengeneza sofa ambalo linauwezo wa kubadilka na kuwa chochote kile unachotaka, sofa hilo liliopewa jina la Lift-Bit lipo kwenye kioo cha kuonyesha bidhaa huko La Triennale, Milan katika nchi ya Italia.

Likiwa linaendeshwa kwa kutumia programu maalum ya simu hili ndio sofa la kwanza la kidigital duniani kwa mojibu wa watengenezaji wa sofa hilo, sofa hilo sio sofa moja bali ni vipande vya sofa mabavyo vinauwezo wa kujipanga vyenyewe nakuwa kitu chochote kuanzia kitanda kiti au hata sofa lenyewe. Hata hivyo kipende kimoja cha sofa hilo kinakadiriwa kuuzwa kati ya dollar za kimarekani USD $900 hadi USD $1000, ili uweze kupata sofa zima nilazima kuwa na vipande visivyo pungua 10 ikiwa ni sawa na dollar za kimarekani USD $9000 au USD $10000.

Advertisement

Pia kipande kimoja cha sofa hiyo kinaweza kutumika kama kiti ambacho kinauwezo wa kujipandisha juu na chini ili kukidhi maitaji ya mtumiaji.

Tembelea website ya sofa hilo ya Lift bit au angalia video hiyo hapo juu kujua zaidi, kama unatumia App ya Tanzania Tech angali video kwenye TECH VIDEO.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use