SnoopaVision Njia Mpya ya Kuangalia Video za Youtube

SnoopaVision Njia Mpya ya Kuangalia Video za Youtube SnoopaVision Njia Mpya ya Kuangalia Video za Youtube

Ni miaka mingi sasa imepita toka watumiaji wa mtandao wa kushare video wa YouTube kutoa maoni yao mbalimbali kuhusu utumiaji wa mtandao huo maarufu duniani. Hivi karibuni kampuni ya google imetangaza kushulikia moja kati ya maombi ya watumiaji wa mtandao wa YouTube kwa kuongeza namna mpya kuangalia video zake katika mtandao huo.

Njia hiyo mpya iliyopewa jina la SnoopaVision ni ni njia mpya ya kuangalia video kwa mfumo wa 360 yani nyuzi 360 hii inakupa uwezo wa kuona pande zote za video hiyo unayoangalia kwenye mtandao huo wa YouTube. Hata hivyo google wamethibitisha kushirikiana na rapper Snoop Dog ambae ni moja kati ya watu walioshiriki kutengeneza na kutoa idea ya kutengeneza technolojia hiyo mpya.

Advertisement

Kwa maelezo zaidi angalia video hiyo hapo juu na pia unaweza kutembelea Blog ya YouTube kwa habari zaidi.

KUMBUKA HAPPY FOOLS DAY

6 comments
  1. Hahaha… hii ilikuwa ni April Fool Pranks, google huwa wanapenda tumia hii siku ya wajinga kuweka video kuzuga watu… hamna iyo technology youtube kwasasa, na Snoop na technolojia wapi na wapi… ni vizur ukaondoa iyo post.

    1. Thanks Don Tunafahamu Asante sana kwa kucomment hii ilikua kuvutia wasomaji wetu ndio maana tukaweka hapo juu “kumbuka happy fools day”

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use