Simu Mpya Reflex Yenye Screen ya Kisasa

Kutana na simu mpya ya reflex simu ya kisasa yenye kukunjika kioo
reflex reflex

Kampuni mbalimbali za simu za mkoni ziliahidi mwaka 2013, zitaanza utengenezaji wa simu za mkononi smartphone zanye vioo vya kisasa zaidi. Hivi karibuni kwenye chuo maarufu cha queen kumetengenezwa aina ya kwanza ya smartphone hiyo iliyokua ikisubiriwa kwa hamu sana. Kuitengeneza simu hiyo timu hiyo ya wanachuo wa chuo cha queen walitumia vioo vyepesi vya LG OLED vyenye uwezo wa 720p na kutumia sensor zenye uwezo wa ku sensi pale zinapokunjwa. Aidha timu hiyo ilitumia sensor ziitwazo “haptic feedback motors” ambazo zinatumika kwenye baadhi ya simu za android za sasa. Simu hiyo inatumia Android 4.4 -powered board ikiwa pamoja na driver zilizo sehemu ya nyuma ya simu hiyo.

Kila unapokunja simu hiyo inauwezo wa kusogeza page moja baada ya nyingine na zaidi kila unapoikunja kwa haraka zaidi ndivyo unavyo ongeza speed ya page kusogea, simu hiyo inaonyesha ikiwa na uwezo wa kucheza game nyingi maarufu katika smartphone kama vile “Angry Bird” na nyinginezo.

Advertisement

Wataalamu hao wamepanga kuonyesha simu hiyo huko Netherlands kwenye tamasha lijulikanalo kama “human-computer interaction conference”. Aidha wataalamu hao kutoka katika chuo cha queen wnasema simu hizo zitakua ziko tayari kutoka baada ya miaka mitano.

2 comments
  1. Hey! I’m at work browsing your blog from my new iphone 4! Just wanted to say I love reading through your blog and look forward to all your posts! Carry on the fantastic work!

  2. It’s going to be end of mine day, but before end I am reading this impressive piece of writing to improve my knowledge.

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use