Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Simu Hii Haito Onyesha Ujumbe Mfupi Kama Wewe Sio Mwenyewe

Simu mpya ya Huawei Honor Magic kutoku onyesha ujumbe mfupi kama wewe sio mwenyewe
Simu mpya ya Honor Magic Simu mpya ya Honor Magic

Kampuni ya maarufu ya nchini china Honor, wiki imetoa simu yake mpya ya Huawei Honor magic. Simu hii ambayo imekuja na sifa pamoja na rangi za kuvutia imetoka mapema wiki hii uko nchini china.

Mbali na sifa hizo simu hii ambayo inategemewa kuuzwa nchini china, inakuja na sifa zingine mbalimbali kama zifuatazo.

Advertisement

  • Kioo cha inch 5 chenye teknolojia ya AMOLED
  • Kamera ya nyuma ya Megapixel 12 yenye dual-lens camera, Megapixel 8 za kamera ya nyuma
  • Android 6.0
  • Huawei Kirin 950 processor
  • 2,900mAh battery
  • Ukubwa wa ndani 64GB
  • RAM 4GB
  • Inapatikana kwa rangi za golden black na porcelain white
  • Pia inayo teknolojia za fingerprint sensor, proximity sensor, ambient light sensor, compass, an accelerometer, gyroscope, pamoja na phone status indicator

Vile vile simu hii inakuja na sehemu nyingine mpya inayoitwa “WiseScreen” sehemu hii inatumia sensor ambazo ziko kwenye pembe za simu hiyo, pamoja na kamera ya mbele ambavyo vyote kwa ujumla vina favya kazi ili kuwezesha pale unaposhika simu yako simu hiyo itawaka kioo ili kukuruhusu kuitumia (hapo ni bila wewe kubonyeza kibonyezo chochote).

Pia kwa kutumia teknolojia nyingine ya “FaceCode Intelligent Recognition” simu hii itazuia kuonyesha ujumbe mfupi pale mtu mwingine atakapo kua ameshiaka simu yako. kwa habari zaidi za simu hii unaweza kupitia page ya simu hii hapa.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use