Video : Hivi Ndivyo Simu Janja za Kichina Zinavyo Tengenezwa

Hivi ndivyo simu za kichina zinavyo tengenezwa, kila kitu hufanywa na binadamu
Simu Simu janja za KichinaKichina Simu Simu janja za KichinaKichina

Tanzania ni moja kati ya watumiaji wakubwa wa simu za kichina, simu hizi nyingi ambazo hutengenezwa nchini china zinatengenezwa na kampuni changa, tofauti na kampuni nyingine ambazo ni kubwa, kampuni hizi changa hutumia watu kwenye hatua nzima za kutengeneza wa simu hizo.

Leo nimekuletea video hii ujionee jinsi baadhi ya simu hizo zinavyo andaliwa na kutengeneza hatua kwa hatua mpaka kufikia hatua ya kuwekwa kwenye maboksi tayari kumfikia mtumiaji.

Advertisement

Hatua nzima ya utengenezeji hufanyika kwa kutumia binadamu ikiwa ni pamoja na uwekaji wa mfumo wa uendeshaji, kuunganisha baadhi ya sehemu za ndani ya simu uwekaji wa sakiti na mambo mengine mengi ambayo wengi wetu hudhani yanafanyika kwa kutumia mashine.

Sio kampuni zote za nchini china hutengeneza simu kwa mfumo huu, hapana bali kampuni nyingi changa ndio hutumia mfumo huu. Wote tunajua kampuni kubwa za utengenezaji za simu hutengenezea simu zake nchini Humo hivyo sio kwamba kila simu inayotoka nchini china hupitia utengenezaji wa aina hii.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use