Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Hizi Ndio Simu Bora za Android za Kununua Mwaka 2016

Kama ulikua unatafuta simu ya kununua yenye kutumia Android basi hii ni ndio list ya simu bora za kununua kwa mwaka 2016
android android

Tecno Phantom 6

Advertisement

Tecno Phantom 6 ni moja kati ya simu ambazo hupendwa sana na watu wa rika zote ndio mana kampuni ya tekno imefanikiwa kuleta simu bora ambazo zimeweza kukidhi maitaji ya wateja wake. Simu hii mpya ya tecno phantom 6 ni simu yenye sifa kemkem ambazo zinafanya simu hii iwe ya kimataifa, muundo pamoja na teknolojia iliyotumika itakufanya utamani kuwa na simu hii mpya.

BEI TZS 685,000

Na hizo ndio baadhi ya simu ambazo ni bora kununua kwa mwaka huu 2016, kama una maoni ushauri au unahisi kuna simu inastaili kuwa kwenye listi hii tuandikie maoni yako hapo chini au unaweza kujiunga na majadiliano kwenye mitandao yetu ya kijamii ya  Facebook, Twitter na Instagram pamoja na Youtube kama unataka kujifunza mambo mbalimbali ya teknolojia kwa njia ya Video. Pia kama unataka kupata habari zote za teknolojia kwa haraka unaweza kudownload sasa App yetu ya Tanzania tech kutoka Play Store na hivi karibuni itapatikana kupitia App Store.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use