Huawei Mate 9 ni simu mpya kabisa kutoka kampuni ya Huawei, simu hii ni bora sana kuwa nayo hasa kama wewe ni mpenzi wa simu za android. Simu hii imetengenzezwa kwa sifa nyingi mpya na bora za mwaka huu 2016. Simu hii mpya kutoka huawei ni moja kati ya simu bora sana za mwaka huu, hivyo ni vyema kuitafuta pale itakapo ingia sokoni hapa Tanzania.