Katika ulimwengu unaobadilika wa simu za mkononi, hasa nchini Tanzania, utafiti uliofanywa na wauzaji wa simu umeonyesha kwamba TECNO CAMON 30 imekuwa simu inayouzwa zaidi, ikipita brand zingine zote na kuashiria uamsho mkubwa kwa brand ya TECNO baada ya kipindi cha kushuka kwa mauzo yake.
Vipengele muhimu vinavyochangia mafanikio ya CAMON 30 ni pamoja na mfumo wa kamera wa kisasa ulio na sensa ya SONY.
Pamoja na mfumo huo wa kamera pia kipengele cha AIGC yenye uwezo wa kubadili taswira au picha yako katika mtazamo mwingine (Nasi tumefanya majaribio kwa kupiga picha sura za watu maarufu nchini kupitia camera ya CAMON 30 AIGC na zikatuletea taswira hizi za AI).
Zaidi ya yote kuwepo kwa earbuds zenye uwezo mzuri wa bass zikija ndani ya box la simu hio.