Kampuni ya Motorola imerudi tena na simu nyingi za bei nafuu, mwaka huu Motorola inakuja na simu za Moto g6, Moto g6 Plus, Moto g6 Play pamoja na Moto e5, Moto e5 plus na Moto e5 play. Simu zote hizi zimezinduliwa rasmi hapo jana huku zikiwa na sifa na muonekano mzuri pamoja na bei nafuu.
Moto G6
Tukianza na Moto g6, hii inakuja na kioo cha kisasa cha Aspect ratio ya 18:9 pamoja na mfumo wa kamera wa siku hizi wa kamera mbili kwa nyuma pamoja na processor ya Snapdragon 450 yenye uwezo wa 1.8GHz 8x A53 pamoja na GPU ya Adreno 506. Sifa nyingine za simu hii ni kama zifuatazo.
Sifa za Moto G6
- Ukubwa wa Kioo – Inch 5.7 chenye teknolojia ya IPS LCD, chenye uwezo wa kuonyesha rangi miloni 16 pamoja na resolution ya 1080 x 2160 pixels, 18:9 ratio (~424 ppi density)
- Mfumo wa Uendeshaji – Android 8.0 (Oreo)
- Uwezo wa Processor -Octa-core 1.8 GHz Cortex-A53, Qualcomm SDM450 Snapdragon 450 Chipest
- Uwezo wa GPU – Adreno 506
- Ukubwa wa Ndani – Ziko kwa machaguo mawili GB 32 pamoja na GB 64 zikiwa na uwezo wa kuongezewa na memory card hadi ya GB 256.
- Ukubwa wa RAM – Ziko kwa machaguo mawili GB 4 na GB 3
- Uwezo wa Kamera ya Mbele – Megapixel 8 yenye (f/2.2, 1080p).
- Uwezo wa Kamera ya Nyuma – Ziko mbili moja ikiwa na Megapixel 12 (f/1.8) na Kamera nyingine inayo Megapixel 5 yenye (f/2.2) pamoja na teknolojia za phase detection, autofocus pamoja na flash ya dual-LED dual-tone flash.
- Uwezo wa Battery – Battery isiyotoka ya Non-removable Li-Ion 3000 mAh battery yenye teknolojia ya Fast battery charging 5V/4.5A
- Viunganishi – Wi-Fi 802.11 a/b/g/n, dual-band, WiFi Direct, hotspot, Bletuooth 4.2, A2DP, LE pamoja na GPS ya A-GPS, GLONASS, Tyep C USB.
- Rangi – Inakuja kwa rangi nne za Deep Indigo, Silver, Blush na Black
- Mengineyo – Inayo Radio FM, Inatumia Line Mbili za Dual SIM (Nano-SIM, dual stand-by), inayo sehemu ya kuchomeka headphone maarufu kama Headphone jack.
- Uwezo wa Mtandao – 2G, 3G na 4G
- Ulinzi – Inayo Fingerprint (kwa mbele)
Moto G6 Plus
Moto g6 plus ni toleo lingine la simu hizi mpya za motorola toleo hili halina tofauti sana na Moto g6 ya kawaida bali utofauti upo kwenye baadhi ya sifa pamoja na ukubwa wa kioo, Kingine ni kuwa toleo la Moto g6 plus litakuwa linapatikana kwa baadhi ya nchi zilizo chaguliwa.
Sifa za Moto G6 Plus
- Ukubwa wa Kioo – Inch 5.9 chenye teknolojia ya IPS LCD, chenye uwezo wa kuonyesha rangi miloni 16 pamoja na resolution ya 1080 x 2160 pixels, 18:9 ratio (~409 ppi density)
- Mfumo wa Uendeshaji – Android 8.0 (Oreo)
- Uwezo wa Processor – Octa-core 2.2 GHz Cortex-A53, Qualcomm SDM630 Snapdragon 630
Chipest - Uwezo wa GPU – Adreno 508
- Ukubwa wa Ndani – Ziko kwa machaguo mawili GB 64 pamoja na GB 128 zikiwa na uwezo wa kuongezewa na memory card hadi ya GB 256.
- Ukubwa wa RAM – Ziko kwa machaguo mawili GB 4 na GB 6
- Uwezo wa Kamera ya Mbele – Megapixel 8 yenye (f/2.2, 1080p).
- Uwezo wa Kamera ya Nyuma – Ziko mbili moja ikiwa na Megapixel 12 (f/1.8) na Kamera nyingine inayo Megapixel 5 yenye (f/2.2) pamoja na teknolojia za phase detection, autofocus pamoja na flash ya dual-LED dual-tone flash.
- Uwezo wa Battery – Battery isiyotoka ya Non-removable Li-Ion 3200 mAh battery yenye teknolojia ya Fast battery charging 5V/4.5A
- Viunganishi – Wi-Fi 802.11 a/b/g/n, dual-band, WiFi Direct, hotspot, Bletuooth 4.2, A2DP, LE pamoja na GPS ya A-GPS, GLONASS, Tyep C USB.
- Rangi – Inakuja kwa rangi nne za Gold, Deep Indigo na Nimbus
- Mengineyo – Inayo Radio FM, Inatumia Line Mbili za Dual SIM (Nano-SIM, dual stand-by), inayo sehemu ya kuchomeka headphone maarufu kama Headphone jack.
- Uwezo wa Mtandao – 2G, 3G na 4G
- Ulinzi – Inayo Fingerprint (kwa mbele)
Moto G6 Play
Moto g6 Play ni toleo jingine la Moto g6, toleo hili pia halina tofauti kubwa sana na matoleo mengine hapo juu bali g6 play yenyewe itakuja na kamera nzuri zaidi yenye mfumo wa AI pamoja na battery kubwa zaidi. Simu hii na yenyewe itakuwa inapatikana kwenye baadhi ya nchi zilizo chaguliwa.
Sifa za Moto G6 Play
- Ukubwa wa Kioo – Inch 5.7 chenye teknolojia ya IPS LCD, chenye uwezo wa kuonyesha rangi miloni 16 pamoja na resolution ya 1080 x 2160 pixels, 18:9 ratio (~409 ppi density)
- Mfumo wa Uendeshaji – Android 8.0 (Oreo)
- Uwezo wa Processor – Octa-core 1.4 GHz Cortex-A53, Qualcomm MSM8937 Snapdragon 430 Chipest
- Uwezo wa GPU – Adreno 505
- Ukubwa wa Ndani – Ziko kwa machaguo mawili GB 32 pamoja na GB 16 zikiwa na uwezo wa kuongezewa na memory card hadi ya GB 256.
- Ukubwa wa RAM – Ziko kwa machaguo mawili GB 3 na GB 2
- Uwezo wa Kamera ya Mbele – Megapixel 8 yenye (f/2.2, 1080p) pamoja na LED Flash.
- Uwezo wa Kamera ya Nyuma – Megapixel 13 yenye (f/2.0, 1.12µm) pamoja na teknolojia za phase detection, autofocus pamoja na flash ya dual-LED dual-tone flash.
- Uwezo wa Battery – Battery isiyotoka ya Non-removable Li-Ion 4000 mAh battery yenye teknolojia ya Fast battery charging 10W /15W
- Viunganishi – Wi-Fi 802.11 a/b/g/n, dual-band, WiFi Direct, hotspot, Bletuooth 4.2, A2DP, LE pamoja na GPS ya A-GPS, GLONASS, microUSB 2.0.
- Rangi – Inakuja kwa rangi nne za Gold, Deep Indigo na Nimbus
- Mengineyo – Inayo Radio FM, Inatumia Line Mbili za Dual SIM (Nano-SIM, dual stand-by), inayo sehemu ya kuchomeka headphone maarufu kama Headphone jack.
- Uwezo wa Mtandao – 2G, 3G na 4G
- Ulinzi – Inayo Fingerprint (kwa nyuma)
Moto E5
Moto e5 ni toleo la jipya la simu za bei rahisi kutoka Motorola, mbali na kuwa ni simu ya Bei rahisi moto e5 inakuja na kioo kikubwa na uwezo mkubwa pengine tofauti na ambavyo ungedhani kwenye simu nyingi za Bei rahisi.
Sifa za Moto E5
- Ukubwa wa Kioo – Inch 5.7 chenye teknolojia ya IPS LCD, chenye uwezo wa kuonyesha rangi miloni 16 pamoja na resolution ya 720 x 1440 pixels, 18:9 ratio (~282 ppi density)
- Mfumo wa Uendeshaji – Android 8.0 (Oreo)
- Uwezo wa Processor – Quad-core 1.4 GHz Cortex-A53, Qualcomm MSM8917 Snapdragon 425 Chipest
- Uwezo wa GPU – Adreno 308
- Ukubwa wa Ndani – GB 16 ikiwa na uwezo wa kuongezewa na memory card hadi ya GB 256.
- Ukubwa wa RAM – GB 2
- Uwezo wa Kamera ya Mbele – Megapixel 5 yenye (f/2.2) pamoja na LED Flash.
- Uwezo wa Kamera ya Nyuma – Megapixel 13 yenye (f/2.0, 1.12µm) pamoja na teknolojia za phase detection, autofocus pamoja na flash ya dual-LED dual-tone flash.
- Uwezo wa Battery – Battery isiyotoka ya Non-removable Li-Ion 4000 mAh battery yenye teknolojia ya Fast battery charging 10W
- Viunganishi – Wi-Fi 802.11 a/b/g/n, dual-band, WiFi Direct, hotspot, Bletuooth 4.2, A2DP, LE pamoja na GPS ya A-GPS, GLONASS, microUSB 2.0.
- Rangi – Inakuja kwa rangi mbili za Flash gray na Fine Gold
- Mengineyo – Inayo Radio FM, Inatumia Line Mbili za Dual SIM (Nano-SIM, dual stand-by), inayo sehemu ya kuchomeka headphone maarufu kama Headphone jack.
- Uwezo wa Mtandao – 2G, 3G na 4G
- Ulinzi – Inayo Fingerprint (kwa nyuma)
Moto E5 Plus
Kama ilivyo kwenye Moto g6 Plus, Moto e5 plus na yenyewe inauwezo zaidi au utofauti kidogo na moto e5. Simu hii inakuja na kioo kikubwa zaidi pamoja na battery kubwa zaidi.
Sifa za Moto E5 Plus
- Ukubwa wa Kioo – Inch 6.0 chenye teknolojia ya IPS LCD, chenye uwezo wa kuonyesha rangi miloni 16 pamoja na resolution ya 720 x 1440 pixels, 18:9 ratio (~268 ppi density)
- Mfumo wa Uendeshaji – Android 8.0 (Oreo)
- Uwezo wa Processor – Quad-core 1.4 GHz Cortex-A53, Qualcomm MSM8917 Snapdragon 425 Chipest
- Uwezo wa GPU – Adreno 308
- Ukubwa wa Ndani – Ziko kwa machaguo mawili GB 32 pamoja na GB 16 zikiwa na uwezo wa kuongezewa na memory card hadi ya GB 256.
- Ukubwa wa RAM – Ziko kwa machaguo mawili GB 3 na GB 2
- Uwezo wa Kamera ya Mbele – Megapixel 5 yenye (f/2.2) pamoja na LED Flash.
- Uwezo wa Kamera ya Nyuma – Megapixel 12 yenye (f/2.0, 1.25µm) pamoja na teknolojia za phase detection, autofocus pamoja na flash ya dual-LED dual-tone flash.
- Uwezo wa Battery – Battery isiyotoka ya Non-removable Li-Ion 5000 mAh battery yenye teknolojia ya Fast battery charging 15W / 10W
- Viunganishi – Wi-Fi 802.11 a/b/g/n, dual-band, WiFi Direct, hotspot, Bletuooth 4.2, A2DP, LE pamoja na GPS ya A-GPS, GLONASS, microUSB 2.0.
- Rangi – Inakuja kwa rangi nne za Black, Flash gray, Mineral blue na Fine Gold
- Mengineyo – Inayo Radio FM, Inatumia Line Mbili za Dual SIM (Nano-SIM, dual stand-by), inayo sehemu ya kuchomeka headphone maarufu kama Headphone jack.
- Uwezo wa Mtandao – 2G, 3G na 4G
- Ulinzi – Inayo Fingerprint (kwa nyuma)
Moto E5 Play
Moto e5 play yenyewe inakuja ikiwa ni simu ya bei nafuu zaidi pamoja kuliko simu nyingine kwenye list hii, simu hii inakuja na uwezo wa kawaida pamoja na sifa nyingine kama zifuatazo.
Sifa za Moto E5 Play
- Ukubwa wa Kioo – Inch 5.2 chenye teknolojia ya IPS LCD, chenye uwezo wa kuonyesha rangi miloni 16 pamoja na resolution ya 720 x 1280 pixels, 16:9 ratio (~282 ppi density)
- Mfumo wa Uendeshaji – Android 8.0 (Oreo)
- Uwezo wa Processor – Quad-core 1.4 GHz Cortex-A53, Qualcomm MSM8917 Snapdragon 425 Chipest au Qualcomm MSM8920 Snapdragon 427
- Uwezo wa GPU – Adreno 308
- Ukubwa wa Ndani – GB 16 ikiwa na uwezo wa kuongezewa na memory card hadi ya GB 256.
- Ukubwa wa RAM – GB 2
- Uwezo wa Kamera ya Mbele – Megapixel 5 yenye (f/2.2) pamoja na LED Flash.
- Uwezo wa Kamera ya Nyuma – Megapixel 8 yenye (f/2.0, 1.12 µm), yenye teknolojia za Geo-tagging, touch focus, face detection, panorama, HDR, autofocus, LED flash
- Uwezo wa Battery – Battery isiyotoka ya Non-removable Li-Ion 2800 mAh battery yenye teknolojia ya Fast battery charging 5V/2A
- Viunganishi – Wi-Fi 802.11 a/b/g/n, dual-band, WiFi Direct, hotspot, Bletuooth 4.2, A2DP, LE pamoja na GPS ya A-GPS, GLONASS, microUSB 2.0.
- Rangi – Inakuja kwa rangi tatu za Black, Dark lake na Flash gray
- Mengineyo – Inayo Radio FM, Inatumia Line Mbili za Dual SIM (Nano-SIM, dual stand-by), inayo sehemu ya kuchomeka headphone maarufu kama Headphone jack.
- Uwezo wa Mtandao – 2G, 3G na 4G
- Ulinzi – Inayo Fingerprint (kwa nyuma)
Na hizo ndio simu mpya za motorola zilizo zinduliwa hapo jana, Kuhusu bei simu hizi zinakuja zikiwa zinauzwa kwa bei tofauti, Moto G6 itakuja ikiwa inauzwa dollar za marekani $249 sawa na Tsh 570,000, Moto G6 Plus itakuwa inauzwa kwa dollar $399 sawa na Tsh 913,000 wakati Moto G6 Play yenyewe itakuja kwa dollar $199 sawa na Tsh 456,000.
Kwa upande wa simu za Motorola E Series, Moto E5 itauzwa kwa dollar za marekani $183 sawa na Tsh 419,000, Moto E5 Plus inategemewa kuja kwa dollar za marekani $208 sawa na Tsh 476,000 kwa upande wa Moto E5 Play yenyewe bado bei yake haija julikana rasmi na inategemewa kutangazwa siku za karibuni. Kumbuka bei ya simu hizo nyingine inaweza kubadilika kwa Tanzania.