Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Samsung Yazindua Simu Mpya ya Galaxy J2 (2018) ya Bei Nafuu

Ina uwezo mdogo lakini ni bora kwa watu wanao tafuta simu za bei nafuu
Samsung Yazindua Simu Mpya ya Galaxy J2 (2018) ya Bei Nafuu Samsung Yazindua Simu Mpya ya Galaxy J2 (2018) ya Bei Nafuu

Kampuni ya Samsung nchini india imetangaza rasmi kuhusu ujio wa Simu yake mpya ya Samsung Galaxy J2 (2018), Simu hii inasemekana kuwa ni simu yenye uwezo mdogo pamoja na bei rahisi.

Kwa mujibu wa tovuti ya Samsung kwa nchini india, Samsung Galaxy J2 (2018) inakuja na Processor ya Qualcomm Snapdragon SoC yenye quad-core CPU, pamoja na kioo chenye ukubwa wa inch 5 chenye teknolojia ya qHD Super AMOLED display, Sifa nyingine za simu hii ni kama zifuatazo.

Advertisement

Sifa za Samsung Galaxy J2 (2018)

  • Ukubwa wa Kioo  – Inch 5 chenye teknolojia ya qHD Super AMOLED display, chenye uwezo wa kuonyesha rangi miloni 16 pamoja na resoluti ya 540 x 960 pixels, 16:9 ratio (~220 ppi density)
  • Mfumo wa Uendeshaji – Android 7.1 (Nougat)
  • Uwezo wa Processor – Quad-core 1.4 GHz Cortex-A53, Qualcomm MSM8917 Snapdragon 425 Chipest.
  • Uwezo wa GPU – Adreno 308
  • Ukubwa wa Ndani – GB 16 ikiwa na uwezo wa kuongezewa na memory card hadi ya GB 256.
  • Ukubwa wa RAM – GB 2
  • Uwezo wa Kamera ya Mbele – Megapixel 5 yenye LED Flash.
  • Uwezo wa Kamera ya Nyuma – Megapixel 8 yenye LED Flash.
  • Uwezo wa Battery – Battery inayotoka ya Li-Ion 2600 mAh battery
  • Viunganishi – Wi-Fi 802.11 a/b/g/n, dual-band, WiFi Direct, hotspot, Bletuooth 4.2, A2DP, LE pamoja na GPS ya A-GPS, GLONASS, Tyep C USB.
  • Rangi – Inakuja kwa mbili Black na Gold
  • Mengineyo – Haina Radio FM, Inatumia Line Mbili za Dual SIM (Micro-SIM, dual stand-by)
    , inayo sehemu ya kuchomeka headphone maarufu kama Headphone jack.
  • Uwezo wa Mtandao – 2G, 3G na 4G
  • Ulinzi – Haina Fingerprint.

Simu hii inategemewa kuanza kuuzwa nchini india kwa rupia ya India INR 8,190 sawa na Tsh za Kitanzania Tsh 281,000. Bei inaweza kuongezeka kwa Tanzania kwa sababu ya Kodi.

1 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use