Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Infinix Yazindua Simu Mpya ya Infinix NOTE 7 Hapa Tanzania

Zifahamu hizi hapa sifa pamoja na bei ya Infinix Note 7 kwa hapa Tanzania
Infinix Yazindua Simu Mpya ya Infinix NOTE 7 Hapa Tanzania Infinix Yazindua Simu Mpya ya Infinix NOTE 7 Hapa Tanzania

Kupitia kurasa zao pendwa za mitandao ya kijamii @infinixmobiletz kampuni ya simu ya Infinix imezindua rasmi sifa za simu mpya aina ya Infinix NOTE 7 au unaweza iita BIGIMAKINI. Infinix NOTE 7 ni simu yenye sifa lukuki zenye kuvutia kuanzia umbo lake kubwa lenye upana wa kioo cha nchi 6.95 na megapixel 48 kamera pamoja na kasi ya processor aina ya MediaTek Helio G70.

Infinix Yazindua Simu Mpya ya Infinix NOTE 7 Hapa Tanzania

Advertisement

Processor ya G70 inakasi kubwa yenye kuwezesha matumizi mbalimbali ya kiofisi na yasiyo yaki ofisi kama vile games zinazohitaji speed kubwa bila kuchoka na miongoni mwa sifa nyengine za Infinix NOTE 7 ni uwezo wa kukaa na chaji kwa muda mrefu pasipo uhitaji wa kuichaji kwa muda mwingi kutokana na uwezo mkubwa wa battery yenye mAh 5000 na teknolojia ya fast charge.

Sifa yingine zenye kuifanya Infinix NOTE 7 kuwa simu yako bora kwa mwaka huu wa 2020 ni ukubwa wa memory ya GB 128 ROM + GB 6 RAM.

Infinix Yazindua Simu Mpya ya Infinix NOTE 7 Hapa Tanzania

Kwa mwaka huu wa 2020 Infinix NOTE 7 ndio simu kubwa zaidi kutolewa na kampuni hii ya Infinix lakini kutoka na ugonjwa ambao unaikumba dunia nzima kwa ujumla Infinix imelegeza bei kwa wateja wake na simu hii itapatikana madukani kwao Infinix Smart Hub Mlimani City na Smart Hub Kariakoo kwa bei isiyozidi 480,000 za kitanzania.

Infinix Yazindua Simu Mpya ya Infinix NOTE 7 Hapa Tanzania

Vile vile Infinix inakupa nafasi ya kushindia Infinix NOTE 7 nyingine mpya kwa mteja yoyote wa Infinix NOTE 7 atakaye piga picha Box la simu baada ya kununua na kupost kwenye mtandao wa kijamii na kuambatanisha na hashtag ya #BIGIMAKINI, na zawadi nyengine kama vile magic cup, Notebooks, Speaker hutolewa papo hapo.

2 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use