Programu ya WhatsApp ni moja kati ya programu zinazo tumiwa na watu wengi sana kwa sasa, moja ya sababu ya programu hii kuendelea kupendwa na watu wengi ni pamoja na urahisi wake wa kutumia.
Lakini kama haitoshi hivi karibuni WhatsApp imerahisha utumiaji wa programu hii zaidi kwa kuleta shortcuts mpya ambazo zitakusaidia kutumia programu hii kwa urahisi zaidi na haraka, hasa kama wewe ni mtumiaji wa WhatsApp kwenye kompyuta.
Kupitia makala hii nime kuwekea list nzima ya Shortcuts mpya za WhatsApp ambazo zitakusaidia kutumia programu hii kwenye kompyuta kwa haraka na urahisi, haijalishi unatumia Windows au Mac au programu ya WhatsApp kwa kompyuta yoyote shortcut hizi zitafanya kazi kwenye kifaa chako,
TABLE OF CONTENTS
WhatsApp Shortcuts (Windows Browser)
- Mark Unread: CTRL + ALT + SHIFT + U
- Archive Chat: CTRL + ALT + E
- Pin/Unpin: CTRL + ALT + SHIFT + P
- Search in Chat: CTRL + ALT + SHIFT + F
- New Chat: CTRL + ALT + N
- Settings: CTRL + ALT + ,
- Mute Chat: CTRL + ALT + SHIFT + M
- Delete Chat: CTRL + ALT + BACKSPACE
- Search in Chat List: CTRL + ALT + /
- New Group: CTRL + ALT + SHIFT + N
- Open Profile: CTRL + ALT + P
- Return Space: SHIFT + ENTER
WhatsApp Shortcuts (Windows Desktop App)
- Mark as Unread: CTRL + SHIFT + U
- Archive Chat: CTRL + E
- Pin/ Unpin: CTRL + SHIFT + P
- Search in Chat: CTRL + SHIFT + F
- New Group: CTRL + SHIFT + N
- Settings: CTRL + ,
- Mute Chat: CTRL + SHIFT + M
- Delete Chat: CTRL + SHIFT + D
- Search in Chat List: CTRL + F
- New Chat: CTRL + N
- Open Profile: CTRL + P
- Return Space: SHIFT + ENTER
WhatsApp shortcuts (Mac Browser)
- Mark as Unread: CMD + CTRL + SHIFT + U
- Archive Chat: CMD + CTRL + E
- Pin/ Unpin: CMD + CTRL + SHIFT + P
- Search in Chat: CMD + CTRL + SHIFT + F
- New Chat: CMD + CTRL + N
- Settings: CMD + CTRL + ,
- Mute Chat: CMD + CTRL + SHIFT + M
- Delete Chat: CMD + SHIFT + BACKSPACE
- Search in Chat List: CMD + CTRL + /
- New Group: CMD + CTRL + SHIFT + N
- Open Profile: CMD + CTRL + P
- Return Space: SHIFT + ENTER
WhatsApp Shortcuts (Mac Desktop App)
- Mark as Unread: CMD + CTRL + U
- Archive Chat: CMD + E
- Pin/ Unpin: CMD + SHIFT + P
- Search in Chat: CMD + SHIFT + F
- New Group: CMD + CTRL + N
- Settings: CMD + ,
- Mute Chat: CMD + SHIFT + M
- Delete Chat: CMD + SHIFT + D
- Search in Chat List: CMD + F
- New Chat: CMD + N
- Open Profile: CMD + P
- Return Space: SHIFT + ENTER
Na hizo ndio shortcut za WhatsApp ambazo unaweza kutumia kwenye kompyuta yako kuanzia siku ya leo, kumbuka unaweza kufanya shortcut hizi kulingana na aina ya kifaa unachotumia.
Kama unataka kujifunza zaidi unaweza kusoma hapa kujua jinsi unavyoweza kutengeneza pesa kupitia programu ya WhatsApp. Kwa maujanja zaidi hakikisha unaendelea kutembelea Tanzania tech kila siku.