Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Sasa Unaweza Kutumia PS VR Kucheza Game za Playstation

Sasa Unaweza Kutumia PS VR Kucheza Game za Playstation Sasa Unaweza Kutumia PS VR Kucheza Game za Playstation

Kama wewe ni mpenzi wa Video Games lazima utakua unajua game maarufu za play stations zinazotengenezwa na kampuni maarufu ya Sony. Hivi karibuni kampuni hiyo ya sony ilitangza kukamilika kwa kifaa kipya cha kuchezea Video game hiyo ya Play station, kifaa hicho maarufu kwa jina la “VR” au Virtual Reality kifaa hicho kitakua maalum kwaajili ya Play station 4.

Kifaa hicho kitanza kusambazwa kwenye maduka na makampuni kuanzia October 2016, kifaa hicho kitakuwa kikiuzwa kati ya dollar $399 kwa marekani sawa na shilingi za kitanzania 900,000.

Advertisement

Mwenyekiti mtendaji wa Sony Group Andrew House ndie alie tangaza kuwepo kwa kifaa hicho, mwenyekiti huyo alisikika akisema kuwa kifaa hicho kitakuja na Game moja la bure liitwalo The Playroom in VR. Hata hivyo mwenyekiti huyo wa Sony Group aliseama kabla ya kufikia mwishoni mwa mwaka huu 2016 wateja wa game hizo wategemee Games zaidi ya 50 ambazo zitakua na uwezo wa kutumia “PS VR”.

4 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use