Hadi kufikia mwaka 2016 utumiaji wa smartphone umeongezeka sana duniani kote na kampuni nyingi zinazo tengeneza video game zinaendelea kubadilisha mifumo yake na kuhamia kwenye mfumo wa smartphone. Hivi karibuni Kampuni inayotengeneza Playstation ijulikanayo kama Sony Computer Entertainment ilitangaza kubadilika kwa jina la kampuni hiyo na kuwa Sony Interactive Entertainment Inc, hata hivyo kampuni hiyo ilitangaza kutengenezwa kwa sehemu mpya ya kampuni hiyo itakayoitwa ForwardWorks.
Kampuni hiyo ya ForwardWorks ndio itakayokuwa ikitengeneza game hizo za playstation kwenye mfumo wa kidigitali yani kwenye mifumo kama ya smartphone, kampuni hiyo itaanza kufanya kazi rasmi tarehe 1 April 2016. Katika mkutano na waandishi wa habari Kampuni hiyo maarufu kwa utengenezaji wa Playstation games imesema watumiaji wa smartphone kwenye mfumo wa iOS pamoja na Android ndio watakao faidika na mfumo huo mpya utakao kuja hivi kaibuni.
Hii sio mara ya kwanza kwa kampuni hiyo kujaribu kuleta game za PlayStation kwenye mfumo wa Smartphone miaka michache iliyopita kampuni hiyo ilitoa simu maalumu kwaajili ya game hizo za playstation, hata hivyo simu hiyo haikupokelewa vizuri na watumiaji wa smartphone duniani. Wakati huu kampuni hii ikifanikiwa kuweka mfumo huo kwenye smartphone watumiaji wataweza ku-download games kutoka kwenye Play store Pamoja na App store.
Maoni*nataka game za gali
naruhusiwa kudanilod game simu aina ya tecno 528
naitwa petii naruhusiwa kudanload game shim yangu .itel it6910
Inategemea na simu yako inatumia mfumo gani.?
naomba mxaada kudowload game kwa simu ya kawaida siyo smartphone
naomb mnielekez jinsi ya kudanload kwenye sim ya itel ya kawaida
Maoni*nataka gemu kwenye simu yangu download
Maoni*nataka game kwenye cm yangu smart phone
Naitwa muya play station zimesha ingia kwenye mfumo wa simuu
Maoni* NAITWA MASOUD AHMMADA NAIXHI KALIUWA MJIN NAOMBA GAME ILINIWEZE KUDOWINLOAD
Maoni*Minaitwa moudi ahmmada naixhi kaliuwa mjini napenda kujiunga nyi
naitwa kelvin kisanga samahani iv naweza kucheza game lolote kwwnye simu yngu bila kudownload?