Kama hukufanikiwa kuangalia uzinduzi wa simu za Galaxy Note 10 na Note 10+ basi usijali kwani unaweza kuangalia hapa yote ya muhimu yaliyojiri kwenye mkutano huo ndani ya dakika saba. Kama kwa namna yoyote unataka kujua sifa za Galaxy Note 10 na sifa za Galaxy Note 10+ basi unaweza kusoma kupitia hapa.