Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Programu Mpya ya “Veta Somo” Darasa Kupitia Simu ya Mkononi

Njia mpya ya kujifunza masomo kupitia mtandaoni…
Veta Somo Veta Somo

Teknolojia inazidi kukua duniani kote pia tanzania pia haiko nyuma kwenye hilo pia, hivi karibuni kampuni ya simu ya Airtel kwa kushirikiana na Chuo cha mafunzo ya ufundi stadi Tanzania yani VETA walishirikiana kuzindua programu mpya iliyopewa jina la V Somo au Veta Somo.

Programu hiyo iliyo-tengenezwa maalumu kwaajili ya kumsaidia mtanzania kupata mafunzo mbalimbali moja kwa moja kupitia simu yake ya mkononi ilizinduliwa na kampuni ya Airtel hapo jana, akizungumza na waandishi wa habari mkurugenzi wa Airtel Tanzania alisema kuwa wanategemea programu hii itafikisha elimu ya ufundi stadi kwa vijana wengi hapa tanzania kwa urahisi na haraka zaidi. Programu hiyo imesha anza kufanya kazi na inategemewa kufikia vijana wengi wa kitanzania siku za usoni.

Advertisement

Vsomo
Price: Free

21 comments
  1. Pongezi sana kwa ugunduzi na uanzishaji wa Online-learning.
    Kuna changamoto imejitokeza hapo,
    Vipi kwa simu zinazotumia microsoft stores..?
    Msaada hapo ndugu.

  2. faraji kachwamba from kagera thanks for tanzania tech for provide v somo through mobile phone Ibelieve that all community should be educated according with v somo service

  3. Nilikuwa Naitafuta Fulsa Hii Ya Kusoma Kwa Njia Ya Mtandao Nawashukuru Airtel Na Veta Kwa Uamuzi Huu Mzuri, Sasa Lengo Langu Limefanikiwa.

  4. big up sana kw uzindz huu hiv compyta ukiifungia sauti ikawa aina utafanyaje ili kuirudisha? Naomba msaada

  5. NAITWA LUSEKELO GEORGE MWASHAMBWA MIMI SINA MAONI ILA NA SHIDA YA MAWASILIANO NA MHUSIKA AU CORDINATOR WA COURSE HII YA VSOMO KWANI NATAKA KUJIUNGA

    1. Maoni*SINA MAONI ILA NAITAJI UFUNDI; Naitaji Kujifunza Elimu Ya Ufundi (Veta) Kuna Vigezo Gani Mpaka Nijiunge Na Elimu Hiyo naomba ushauli wenu 0629386691 AU 0679829705 mtu yeyote mwenye kazi nipo tayali nimeitimu kidato cha 4 ila matokeo sio mazuli nipo mkoa wa lindi

  6. Ni suala zuri sana hasa kwa wale ambao wanaishi mbali na inapunguza gharama.Naomna kujua namna ya kujiunga

  7. Hivi hii program ya ukweli au tunadanganywa? Mbona mm nimesoma nimefaulu na nimelipa ada yote lkn mpaka leo sijaitwa chuoni nimepiga cm mara kadhaa mpaka hawapokei Tena cm yangu niambieni ukweli ili nijue

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use