Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Programu Mpya ya Android N 7.0 iko Karibuni Kutoka

Programu Mpya ya Android N 7.0 iko Karibuni Kutoka Programu Mpya ya Android N 7.0 iko Karibuni Kutoka

Baada ya Android 6 sasa linakuja toleo jipya la “Android N 7.0” kwa sasa programu hiyo iko mbioni kutoka na iko kwenye hatua za mwisho kukamilika, pia bado haijajulikana kama programu hiyo itapewa jina la “Android N 7.0″ ila wataalamu wengi wa mambo haya wanasema itaitwa hivyo.

Hata hivyo kwa wale wenye ujasiri unaweza kujiaribu programu hiyo kwenye simu yako sasa lakini kumbuka bado programu hiyo haijakamilika hivyo iko kwaajili ya wale ambao wangependa kuijaribu, pia inasemekana kuwa programu hiyo itatoka mwezi huu lakini haitakuwa tayari kupakua mpaka mwezi October mwaka huu 2016.

Advertisement

Kujifunza namna ya kupakua programu ya majaribiao ya Android 7.0 N bofya Hapa [button type=”success” text=” “Android 7.0 N developer preview”” url=”https://www.tanzaniatech.one/2016/04/18/namna-ya-kupakua-toleo-jipya-la-majaribio-la-android-n-7-0/” open_new_tab=”false”]

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use