Huu ni mwezi wa 12 zimebaki siku chache mwaka kumalizika, kampuni nyingi zinaonekana kuanza kuhesabu kumi bora za bidhaa au matukio yaliotokea ndani ya mwaka huu mzima wa 2016. Kampuni ya Google nayo haikua nyuma kwa kuangalia nyuma ili kuchambua kati ya programu ambazo zimefanya vizuri ndani ya mwaka huu 2016.
Ifuatayo ni list kama ilivyotolewa na Google kwenye blog yake mapema hapo juzi, list hi inajumuisha programu bora, game bora, nyimbo bora zilizosikilizwa sana, filamu bora, tamthilia bora, pamoja na vitabu bora vilivyo fanya vizuri ndani ya mwaka 2016.
TOP TRENDING APPS of 2016
- Face Changer 2
- Lumyer – Photo & Selfie Editor
- Castbox – Podcast Radio Music
- Emoji Keyboard Pro
- MSQRD
TOP TRENDING GAMES of 2016
TOP 5 STREAMED SONGS of 2016 (Haipo Tanzania)
- Stressed Out, Twenty One Pilots
- Sorry, Justin Bieber
- One Dance (feat. WizKid & Kyla), Drake
- Don’t Let Me Down (feat. Daya), The Chainsmokers
- Me, Myself & I, G-Eazy
TOP 5 MOVIES of 2016
- Deadpool
- Star Wars: The Force Awakens
- Zootopia
- Captain America: Civil War
- Batman v Superman: Dawn Of Justice
TOP 5 TV SHOWS of 2016 (Haipo Tanzania)
TOP 5 BOOKS of 2016 (Haipo Tanzania)
- Deadpool Kills the Marvel Universe by Cullen Bunn
- Harry Potter and the Cursed Child: Parts One and Two by J.K. Rowling, John Tiffany, Jack Thorne
- The Girl on the Train: A Novel by Paula Hawkins
- The Art of War by Tzu Sun
- Me Before You: A Novel by Jojo Moyes
Na hiyo ndio list ya programu bora kama ilivyotolewa na Google hapo juzi, kama una maoni yoyote kuhusu programu hizi tuandikie maoni hapo chini au unaweza kujiunga na majadiliano kwenye mitandao yetu ya kijamii ya Facebook, Twitter na Instagram pamoja na Youtube kama unataka kujifunza mambo mbalimbali ya teknolojia kwa njia ya Video. Pia kama unataka kupata habari zote za teknolojia kwa haraka unaweza kudownload sasa App yetu ya Tanzania tech kutoka Play Store na hivi karibuni itapatikana kupitia App Store.