Kama wewe ni mmoja wa watu wanaotafuta njia mbalimbali za kutengeneza pesa mtandaoni basi makala hii ni kwaajili yako, kupitia makala hii utaweza kujifunza njia mpya za kuweza kutengenea pesa mtandaoni kwa kutumia simu yako ya Android.
Kumbuka unatakiwa kuwa na simu ya Android ili kuweza kuanza kupata pesa kwa kutumia njia hii, njia hii ni rahisi sana na haitaji ujuzi wowote. Basi bila kupoteza muda mrefu twende tukajifunze maujanja haya.
Apps Maalum
Kumbuka njia hizi hazitokupatia mamilioni ya pesa bali zita kusaidia kupata kipato kitakacho kusaidia kwenye mambo madogo madogo, kama unataka kujua njia nyingine rahisi zaidi basi soma hapa kujua jinsi ya kutengeneza pesa kwa kutumia App ya WhatsApp. Kama unataka kujifuna zaidi basi tembelea kipengele cha pesa mtandaoni.
Na hiyo ndio njia ambayo nimekuandalia kwa siku ya leo, kama unataka kupata maujanja mapya kila siku hakikisha una Subscribe kwenye channel yetu hapa. Nakuahidi hutojutia…..
NIMEPENDA
Maoni*safi
Je taarifa za kupata pesa mtandaoni ni za kweli na uhakika?
Shida ni namba yako kuna mengi nimejifunza kupitia blog yako na webgi nahitaji kufahamu zaidi call/txt/whatsapp 0714322093 au niachie namba yako
Asante sana KWA Elimu hiyo,