Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Pata Pesa Mtandaoni kwa Kuangalia Video Fupi za Kuchekesha

Pakua app itakayokupa uwezo wa kupata pesa kwa kuangalia video
Pata Pesa Mtandaoni kwa Kuangalia Video Fupi za Kuchekesha Pata Pesa Mtandaoni kwa Kuangalia Video Fupi za Kuchekesha

Ukweli ni kwamba njia za kupata au kutafuta pesa mtandaoni zipo nyingi sana, lakini ili kuweza kutengeneza pesa kwa kutumia njia hizi inahitaji kufanya kazi kwa muda mrefu na kwa usahihi bila kukosa ndio maana leo nimekuleta njia ambayo ni rahisi zaidi ya kupata pesa mtandaoni.

Cheka Point ni App ya kitanzania ambayo inakupa uwezo wa kutengeneza pesa mtandaoni kwa urahisi bila kutumia muda mwingi, app hii ambayo ni mtandao wa kijamii inakupa uwezo wa kupata point kadhaa kwenye kila video ambayo unaweza kuangalia, mbali na kuangalia pia unaweza kupata point kwa kushare video zilizopo ndani ya app hiyo.

Advertisement

Pata Pesa Mtandaoni kwa Kuangalia Video Fupi za Kuchekesha

Unaweza kubadilisha point hizo kuwa pesa na kuomba kutoa point hizo moja kwa moja kupitia app hiyo. Vilevile unaweza kupata pesa zaidi kwa kualika watu kwa kutumia Cheka codes zako. Kitu cha muhimu ni kutengeneza akaunti na moja kwa moja utakuwa uko tayari kuanza kutengeneza pesa.

Mbali na hayo app hii pia inakuja na video, picha, pamoja na vichekesho vya aina mbalimbali, kitu kizuri kwenye app hii ni kuwa unaweza kudownload app hii na kuendelea kutumia kama kawaida na utalipata point zako kama kawaida, pale unapo fikisha kiwango cha kutoa point hizo basi utaweza kujipatia pesa bial kufanya kazi ngumu. Unaweza kudownload app hii kupitia link hapo chini.

8 comments
  1. Nashukuru kwa kupata elimu juu ya kutengenea website/tovuti.ila nimekwama katika kipengele cha ku upload zim file ambapo silioni mahali lilipo…umeeleza lipo kwenye description ila mbona siliani…msaada tafadhali.TANZANIA TECH MAY GOD Bless YOU

  2. Msaada;kila nikiangalia video kwa hiyo apps point haziongezeki hata,ni kipi natakiwa kufanya.nimeangalia taklibani ya video10 lakin hamna chochote.

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use