Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Solar Panel Nyembamba Mara 100 Zaidi ya Nywele ya Binadamu

solar panel solar panel

Kama tunavyo fahamu mara nyingi  solar panel huwa na unene wa kiasi fulani hii usababisha panel hizi kuwa nzito na ambazo hazi hamishiki kila mara. Lakini hivi karibuni kampuni moja ya Korea kusini imetengeneza solar panel ambazo ni nyembamba mara 100 zaidi ya nywele ya binadamu.

Solar panel hizo ambazo ni nyembamba kuliko zote duniani zinauwezo wa kuzungushwa kwenye peseli na bado zikaendelea kufanya kazi, Profesa Jongho Lee kiongozi wa chuo cha Gwangju Institute of Science and Technology cha inchini korea alisema kuwa “panel hizi zinaweza kufanya kazi mara mbili ya panel za kawaida hata hivyo watu wengi wameshawahi tengeneza solar nyembamba lakini hakuna mtu hata mmoja ambae amesha wahi kutengeneza solar kwa kutumia njia hii iitwayo etching” alisema Profesa huyo wa chuo cha Gwangju Institute of Science and Technology cha inchini korea ya kusini.

Advertisement

Kama umeipenda hii usisite kulike page yetu ya Facebook pamoja na Twitter ili kupata habari mpya pindi zinapotoka, pia kwa kujifunza mambo mbalimbali kwa vitendo unaweza ku subscribe kwenye Youtube Channel yetu hapa Tanzania tech blog. Pia usisahau kubofya hako ka-LOVE hapo chini ili ku-show love..!!

3 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use