Follow

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use
English

Panasonic Yatoa Series Mpya za 4K UHD LED VIERA TVs

panasonic tv panasonic tv

Kampuni kongwe ya TV ya Panasonic siku ya tarehe 29 ilitangaza kuingiza sokoni TV yake mpya ya 4K UHD LED VIERA TVs series, ikiwa ni mjoa kati ya series za Panasonic zinazoendelea kutumiaka sana hasa uko Europe. TV hiyo ya Panasonic inatumia Technolojia ya 4K UHD na High Dynamic Range (HDR), “kioo chake angavu cha LCD kitakua kikionyesha picha za 4K UHD kama ma-director wa movie huko Hollywood wanavyotarajia” alisema mmoja wa wafanyakazi wa kampuni hiyo.

Series hizo mpya za Panasonic DX902, DX802, DX750 na DX700 zinatumia pia mfumo wa HDR unaowezesha kuona picha nzuri zaidi. Pamoja na hayo TV hizo za Panasonic ni Smart TV zenye muonekano wa kisasa wa mwaka 2016 pamoja na Design nzuri za kisasa za karne ya 21, TV hizo zina frem kwa nyuma ambayo inageuza TV yako kuwa ya kisasa zaidi pia wembamba wa TV hiyo unasaidia Tv hiyo kuweza kutoshea vizuri kwenye sebule yako.

Advertisement

1 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use